Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Ndio maana nikasema broker hata penda kila siku utengeneze faida kwani kwake itakuwa hasara.Kama unavyoona hapo umelose yy kapata faida so kinyume chake ukipata faida kwake ni hasara.

Sent using Iphone 7+
Hujaelewa. Broker hakati commission mimi ninapopata hasara. Ila commission anaikata pale tu ninapotrade. Haijalishi nimepata faida au hasara.
Screenshot_20170830-213815.png

Kwa mfano: angalia Litecoin. Nlipata faida ya 20.0, lakn bado nkakatwa commission ya -6.11.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana nikasema broker hata penda kila siku utengeneze faida kwani kwake itakuwa hasara.Kama unavyoona hapo umelose yy kapata faida so kinyume chake ukipata faida kwake ni hasara.

Sent using Iphone 7+
[emoji28] [emoji28] Hebu rudi kalale, umechoka sana mkuu, pumzisha akili
 
hahah mkuu usimcheke hata wewe ulikuwa hivyo
Kuna vitu watu hawapendi kuvisikia ila ndivyo vilivyo hasa pale unapoamini katika jambo fulani.swali ni moja tu je baadhi ya broker wana cheat wateja wao?Kama ni kweli why wana cheat jiulize hapo tu usipopata jibu basi uliza humu tuambizane why wanacheat.Katika biashara sio siku zote utafata njia halali ukikwepa kidogo ukaona kuna faida utaacha kukwepa tena ili utengeneze faida nzuri.

Sent using Iphone 7+
 
Sio kweli wanajua mengi ila kama ww unajua zaidi kuhusu Broker unaweza kutuelezea hapa mkuu.Tatizo sio forex au mm au ww ambao ni retail trader walidai changamoto ipo kwa Broker utayemtumia na siku zote tumezungumza forex hapa lakini hatujawahi zungumzia kwa undani majukumu ya Broker.Hatujawahi jiuliza broker yy anapaje faida? na mnalipana vip kwenye biashara hii.

Sent using Iphone 7+
unajua maana ya broker? ....kazi yake kubwa ni kukutengenezea wewe platform ya kufanya biashara au kwa lugha nyingine kukuunganisha kwenye biashara kwa malipo ya commision(hii ndio faida yake) ...we upate faida au hasara hiyo haimuhusu..!
 
Tumekuwa muda wote tukizungumzia forex lakini baada ya kusoma vitabu kadhaa nikaona sio vibaya nikajiunga na club mbalimbali kwa watu waliotutangulia kufanya hiii kitu.Niliuliza swali je ni kweli unaweza anza na mtaji wa 500$ na kufikisha 5 figures or 6figures.Majibu ya wengi ilikuwa ni Yes and No.Nitaelezea kwa nn No.Walichonambia tatizo ni Broker wengi wana trade ila Broker sio wote waaminifu wana cheat why wana cheat ni kwa sababu account yako inapogrow kwao inasoma hasara sasa je ni nan anayependa hasara?Walinishauri kama unataka forex ikulipe weka mtaji angalau wa 5000$.Vinginevyo utahitaji kutumia nguvu nyingi kukuza mtaji wako kumbuka broker wako hatapenda kila siku aingie hasara.Wadau tusaidiane kumbe broker sio wote waaminifu.

Sent using Iphone 7+
Huu ushauri wao nna mashaka nao, wanasema ukiwa na 500usd ukiikuza unapata hasara alafu muda huo huo wanasema ni bora uwe na 5000usd, je ukiwa na 5000usd ukiikuza ndio hawatapata hasara?

ANyways, ni mawazo yao!! nadhan ni vyema ukachagu broka ambaye yuko regulated....atleast!
 
"Account yako inapo grow kwao inasoma hasara"

Kivipi mkuu? hebu fafanua kidogo hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
I think anamaanisha kuna brokers ambao, sometimes, kupata kwako faida ni loss kwao!! mfano brokers ambao ni market markers mara flani flani huwa wana influence market prices (hii ni kwa mujibu wa maandiko mbali mbali including some books)!
 
Naombeni jamani nielekezwe njisi yakufungua Demo account nikufungua kwa baadhi ya brokers wanasema not registered in Tanzania , naombeni nielekezwe hata hata za mwanzo za kufungua Demo Account nianze kujifunza pole pole mnanitamanisha kichizi najaribu kufungua ila issue zinagoma

Sent using Jamii Forums mobile app

Sijaelewaunaposema "registered in Tz' una maanisha nini, nnachojua Tz hakuna forex broker achilia mbali kampuni za ku-regulate brokers!!

Brokers tunaowatumia wapo nchi za wenzetu huko na pia wako regulated huko huko!! Japo naomba na sisi Tz tufikie hatu ya kuwa na brokers as kenya wapo!!

Ningekua ni wewe wala nisingekimbilia demo kwanza, kama una muda soma vitabu atleast upate basics kama hauna!!

Na kuhusu demo, sio lazima uwe na broker, tumia hata mt4 utakuta demo acc. ipo!!
 
Ndio maana nikasema broker hata penda kila siku utengeneze faida kwani kwake itakuwa hasara.Kama unavyoona hapo umelose yy kapata faida so kinyume chake ukipata faida kwake ni hasara.

Sent using Iphone 7+
Sio broker waote wako kama unavyosema!! Jua kuna market marker, ECN na STP brokers na wote wana sifa zao tofauti kabisa na ulichoandika!!

Kuna wengine ukipata faida wao ndio furaha yao!!
 
Sio broker waote wako kama unavyosema!! Jua kuna market marker, ECN na STP brokers na wote wana sifa zao tofauti kabisa na ulichoandika!!

Kuna wengine ukipata faida wao ndio furaha yao!!
Jama mbona tunarudishana nyuma tena swala la broker tumeshalizungumzia sana hapa kwenye uzi na ukiona mtu anauliza maswali yakizembe kama haya ujue hata kitabu kimoja hajamaliza kusoma.
 
Kuna vitu watu hawapendi kuvisikia ila ndivyo vilivyo hasa pale unapoamini katika jambo fulani.swali ni moja tu je baadhi ya broker wana cheat wateja wao?Kama ni kweli why wana cheat jiulize hapo tu usipopata jibu basi uliza humu tuambizane why wanacheat.Katika biashara sio siku zote utafata njia halali ukikwepa kidogo ukaona kuna faida utaacha kukwepa tena ili utengeneze faida nzuri.

Sent using Iphone 7+

Nakuomba kitu kimoja, kapitie hizi types za brokers alafu ukiwaelewa utapata jibu la swali lako!!

1. Market maker

2. ECN

3. STP

Alafu ukipata jibu jiulize hili swali...

Kama wanacheat wateja wao kwanini mpaka leo wapo kwenye biashara na kila siku wanapata wateja wapya?
 
Jama mbona tunarudishana nyuma tena swala la broker tumeshalizungumzia sana hapa kwenye uzi na ukiona mtu anauliza maswali yakizembe kama haya ujue hata kitabu kimoja hajamaliza kusoma.
Mkuu wangu, ndio maana uzi mpaka leo upo, na ndio maana kuna watu wapya wanajiunga JF na watu wapya wanauona huu uzi!! sio watu wote wanaouona huu uzi walianza nao toka mwezi May!!

Just be kind to them and show them what to do!
 
Kama umeuona leo uzi kwanini usiuweke chini uzembe ukaanza kupitia page moja baada ya nyingne?
Mwingine atakuja kukuuliza kwahiyo Forex ni nini?
Mkuu ONTARIO ameeleza vema sana juu ya brokers na pia ukisoma currency trading for dummies wameeleza vyema kabisa juu ya aina mbalimbali za broker na jinsi wanavyopata commision....
 
Huu ushauri wao nna mashaka nao, wanasema ukiwa na 500usd ukiikuza unapata hasara alafu muda huo huo wanasema ni bora uwe na 5000usd, je ukiwa na 5000usd ukiikuza ndio hawatapata hasara?

ANyways, ni mawazo yao!! nadhan ni vyema ukachagu broka ambaye yuko regulated....atleast!
Hujaewaelewa hapo wanashauri hivyo kwasababu ukitumia capital kubwa ni rahisi kwako ku manage risk na emotions tofauti na capital ndogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna vitu watu hawapendi kuvisikia ila ndivyo vilivyo hasa pale unapoamini katika jambo fulani.swali ni moja tu je baadhi ya broker wana cheat wateja wao?Kama ni kweli why wana cheat jiulize hapo tu usipopata jibu basi uliza humu tuambizane why wanacheat.Katika biashara sio siku zote utafata njia halali ukikwepa kidogo ukaona kuna faida utaacha kukwepa tena ili utengeneze faida nzuri.

Sent using Iphone 7+
They can manipulate the market, hilo sawa, lakn sio kwa mtindo ulio andika wewe

Kwamaelezo yako ya awali ulichomaanisha hii biashara ni vita kati yako wewe na broker, yaan faida unayopata wewe inatoka kwenye mifuko yao wao, haiko hivyo vita ni wewe na soko, yeye atapata commission yake upoteze au upate Faida
 
Kuna vitu watu hawapendi kuvisikia ila ndivyo vilivyo hasa pale unapoamini katika jambo fulani.swali ni moja tu je baadhi ya broker wana cheat wateja wao?Kama ni kweli why wana cheat jiulize hapo tu usipopata jibu basi uliza humu tuambizane why wanacheat.Katika biashara sio siku zote utafata njia halali ukikwepa kidogo ukaona kuna faida utaacha kukwepa tena ili utengeneze faida nzuri.

Sent using Iphone 7+
Bro, kama pamoja na screeshot hzo, na maelezo ya kina hvyo bado hujaelewa,nadhani forex haikufai.

Kwa msaada, ni muhimu ufute kila kitu unajua kuhusu forex, na uanze upya kbs. Inakupasa ukasome bid na ask price, pip, commission, swap, overnight fee, opening, position, broker...

Hafu baada ya hapo uliza maswali kwa waliofanya na wanaofanya biashara wakafanikiwa, co hao waliokata tamaa. Mana wanataka ukate tamaa pia.

Na vngne, uliza, then changanya na akili yako. Kama mabroker wanataka upate hasara, wateja wapya wala tucngetaka kuanza.

Iyo ya kutaka ushindwe wao wapige pesa iko kwenye kubet, sio huku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom