Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Nami nina ombi kuhusu updates mkuu. Kwanza hongera hadi hapo ulipofika. Si kazi ndogo. Pili kuhusu updates, hata kama utaanzisha uzi mpya ni kuwa ukiwa na jambo jipya na nyeti liweke pale kwenye post ya kwanza ili tuweze kujua kinachoendelea kwa urahisi. Post zikiwa nyingi inakuwa pia ngumu kufuatilia updates zako

Imetumwa kupitia Tecno Camon Cx
 
Per earlier prediction.

It's a wrap.

$1850 fresh profit today in the portfolio. Courtesy of futures binary options for Wall St 30 (Dow Jones 30) > 21920 @ 4:15 US ET September 1 2017.

Let the long weekend begin.
Alwatan kama hutajali Boss tuachie mawasiliano tukutafute mkuu , una Inspire sana
 
My "art work" 3 days ago. As a result, EURUSD went down over 100 pips. Keep learning and spend time practicing
 

Attachments

  • eurusd_.PNG
    50.3 KB · Views: 71
  • eurusd2.PNG
    55.9 KB · Views: 64
My "art work" 3 days ago. As a result, EURUSD went down over 100 pips. Keep learning and spend time practicing
Mkuu. Brilliant.

Nafikiri siku ilivyopanda hivi nilitoa onyo na kusema ilivyopanda ghafla inaweza kushuka hivyo hivyo kutafuta a happy settling.

Analysis ya charts kama hivi muhimu sana.

Thanks for the inspiration that shows we can figure this out.

Sent from my Kimulimuli
 
Nieleweshe hapa. Ina maana umetia kibindoni hiyo amount? Na umeenda kuichukulia benki>

Imetumwa kupitia Tecno Camon Cx
Nimepata hiyo amount kwenye account yangu ya NADEX. Hizo ni US dollars nilizopata Ijumaa. Alhamisi nilipata about $1000. Kuna ijumaa ya wiki iliyopita nilipata $3,800. Kuna siku nilijipanga na markets zilienda vizuri nikapiga $5,000 kwa siku moja. Ukifuatilia posts zangu za nyuma utaona nimepost nafikiri. So hizi za jana na juzi nimekuwa machale zaidi kwa sababu ya mwenendo wa volatility kama ya EUR/USD alivyoonyesha Rob hapo juu.

Naweza kuzitoa NADEX kuziweka katika bank account yangu, lakini nataka kuzitumia kupiga hela zaidi kwanza kabla ya kuzitoa.

Sent from my Kimulimuli
 
be my mentor plz, nakula nondo za forex mdogo mdogo.....
 
unatisha mkuu
 
Week iliyopita, Movement ya GOLD na DOW zimeniwezesha kumultiply five times 30 USD welcome bonus ya tickmill to 148 USD. Technically nimetengeneza faida ya almost 120 USD, na hii move imenichukua almost mwezi mzima toka nianze kutrade hii welcome bonus ya TICKMILL. Initialy nilichoma 30 USD welcome bonus ya XM, na kwa kuwa rule inasema do not invest on something you don't know about, nikajiona sijui bado na nikaogopa kufanya real deposit, nikasema ngoja nimtafute broker mwengine mwenye welcome bonus nijaribu kuipandisha tena kama nitaweza ndipo nikaangukia kwa tickmill. Kwa mujibu wa sheria za Tickmill hapo naweza withdraw up to 100 USD as my profit. So siyo lazima uwe na 5000 USD kama mdau mmoja alivyoshauriwa hapo kabla ndo uwaze anza forex. Just umakini na discpline matters.


 
Hongera Complex,so ingekua $300 now ungekuwa na $1500!Training ianze tu asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera Complex,so ingekua $300 now ungekuwa na $1500!Training ianze tu asee

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahaahaaa, Siyo rahisi hivyo aisee, ningeweka hiyo 300 USD katika akaunti najua ningekuwa na faida chini ya hapo pengine 500 USD, Kwani ningecheza kwa kupaki basi mithili ya Jose Mourinho, huku huwa hesabu za kuzidisha zinakataa kabisa, Hesabu nzuri katika hii biashara ni kutoa na kujumlisha. Ukipenda sana kuzidisha hukawii kukuta umejitia kiberiti mwenyewe Heheehehehee.
 
Thanks kwa maelezo ya awali. Huyo nadex ni broker? Na ni benki gani waweza deposit hii hela ya forex na ku draw bila mizengwe? Nakumbuka Ontario alisema benki kama crdb wanazingua. Response yako ni VALUABLE sana

Imetumwa kupitia Tecno Camon Cx
 
Yap naelewa hata ingefika 500 almost umei double! Si haba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
XM na tikmil ni brokers?

Imetumwa kupitia Tecno Camon Cx
 
Thanks mkuu. Correct, I think pair ina-retrace sasa au ndo inarudi ilikotoka.Either way its going down. Itazidi kushuka next week maana kwa sasa ilikua at its highest point since 2015. Same applies to EURGBP.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…