Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Ukiw na uoga na uvivu wa kufikiria ndo utatanguliza hizo doubts zako
Je ulishawahi kuuliza nawezaje kuweka pesa kwa brokers

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiw na uoga na uvivu wa kufikiria ndo utatanguliza hizo doubts zako
Je ulishawahi kuuliza nawezaje kuweka pesa kwa brokers

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la wewe ni kama la huyo mwngne, I know everything, lakn cjatoa wazo la brokerage company thinking about MYSELF.

Nawaza kuhusu WENGINE watakaoamua kuifanya hii biashara, wanaweza kukatishwa tamaa tu kwa milolongo ya akaunts wanazopaswa kufungua...

Ivi kama ukiulizwa leo XM anaaccept Mastercard deposits, hafu una kadi ya NMB ya Mastercard lakini huwez kudeposit direct mpaka ufungue akaunt ya skrill utajibu nini?

That's what I'm thinking, co uvivu wa kufikiri...
Hii inaitwa thinking outside of the box!

Unadhani kungekuwa na broker tz tungekuwa na ulazima wa kuwa na akaunt za skrill wakati kuna mastercard za CRDB, FNB, NMB?

think about it man!
Acha kuweka assumptions, kama huelewi, uliza ueleweshwe!

<> semper fi <>
 
Sure but kusema kweli, kuhudhuria training itakua uongo... Labda mambo yote yaelezwe hapa.

Em nielekeze namna ya kufungua hata hiyo demo account nianze ku practice sasa
 
Okay, sasa anza na kunielewesha namna ya kufungua account.

Nataka nianze ku train mwenyewe
 
Cha kwanza, tafuta broker anayefaa, mi personally ntakupa link ya kufungua demo kwa broker huyo

<> semper fi <>
Broker najuaje kama huyu anafaa au hafai? Hao ma broker nawapata sehemu gani nijichagulie hapo mmoja?
 
Great news from cre.forex on IG.. Jamaa wamefika aisee hio road trip sio mchezo.

Nimekaa hapa nasubiri uzi mpya tu nikakate ticket yangu na mimi road trip ianze[emoji4][emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekaa nikawaza kwann wameamua kutumia barabara sijapata jibu

pengine wanapenda kusafiri kama mm na kufurahia uumbaji wa Mungu , i love nature
 
Nimekaa nikawaza kwann wameamua kutumia barabara sijapata jibu

pengine wanapenda kusafiri kama mm na kufurahia uumbaji wa Mungu , i love nature
May be watatuambia tukikutana nao class..[emoji39] au nadhani hawakutaka wakija huku wahangaike inshu za usafiri au kununua magari mengne so wakaamua kuja na yakwao and also for the sake of adventure.

All in all we thank God wamefika salama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We si mfanyabiashara always negativity
So hizo njia ulizosema zina matatizo gani kwani mtu hafikii lengo la kudeposit pesa kwa brokers au huyo broker akiwa tz utampa pesa mkononi
Eti mlolongo mrefu kwani unaomba chuo tcu au mkopp loan board
Hizi process ni za ki_electronic kwa 90% only 10% ni physically pale unapoenda weka hela bank so huo mzunguko au foleni iko wapi acha kutisha watu kama wew unazijua waelekeze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe c unajua mambo ya electronic? Unadhani wote watakaoingia wanajua electronic?
Hukuona kuwa kuna wengine hata vitabu tu humu walikuwa wanaomba watafsiriwe? Unadhani hao watajua mambo ya electronic?

Nimekwambia, hofu yangu co mimi, hofu yangu ni WENGINE watakaoamua kuifanya.

Kama htak niwe na wasiwasi nao, then kwangu co shida.

Cheers!

Hafu bado hujajibu swali langu,
Kwann una mastercard hafu bado watumia skrill.

<> semper fi <>
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…