OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna broker mzuri wala mbaya, inategemeana na vile wewe unataka kufanya biashara kvp.Naomba kwa wale wazoefu watuambie ni broker gani mzuri kati ya hawa
View attachment 580588 View attachment 580592
Xm ndo broker mzuri
Naomba kwa wale wazoefu watuambie ni broker gani mzuri kati ya hawa
View attachment 580588 View attachment 580592
Ukiw na uoga na uvivu wa kufikiria ndo utatanguliza hizo doubts zakoHapo ndipo utakapokosea..
Mimi ckuwa namchallenge kwamba haeleweki, ukisoma vizuri nlichoandika utagundua kitu.
Changamoto yangu, co mtaji wala nauli, changamoto nlyotaja ni BROKERS.
kuna watu kupitia uzi huu tayari wanapga hela ndefu, na bahat nzuri kuna mabroker wengne minimum amount ya deposit ni mpaka $50 na wengne $25, na kuna wengne wanakupa hadi mtaji kabisa, so kwangu mtaji co ishu.
Ishu nloiongelea ni kwamba akilaunch school, watu tukapiga kitabu, itakuwaje upande wa mabroker?
Kumbuka kuwa mabroker wengi ni wa nje, na weng ni nje ya Africa though huenda wana presentatives wao.
Sasa wana utaratibu wao wa kudeposit na kuwithdraw pesa ambao kibongobongo una hatua ndefu sana, ni tofauti na kama tungekuwa na broker hapahapa tz, au akawepo presentative wa broker hapa tz, ingekuwa rahis kuweka na kutoa pesa, mana ungekuwepo utaratibu ulio customized kwa mazingira ya tz.
Hilo ndilo wazo langu, na nkauliza analionaje yeye? Training bro co lazma uende leo, mana hapa tu kwenye uzi ni training tosha, kama utajibiidisha kusoma na kufanya demo kila cku.... Labda kama ile elimu ya chuo ya kujitafutia materials na kusoma bila kusimamiwa kwako ni ngumu, hapo kweli utafeli.
Nimebet sana bro, lakini tangu nimeanza hii kitu, nimeapa kuwa ctobet tena, sbb nlikaa na kuwaza pesa napga na napgwa, nimeona ni hasara kiasi gani nimepata...
Ile pesa unabetia, ndio mtaji wako.
Cheers!!
<> semper fi <>
Tatizo la wewe ni kama la huyo mwngne, I know everything, lakn cjatoa wazo la brokerage company thinking about MYSELF.Ukiw na uoga na uvivu wa kufikiria ndo utatanguliza hizo doubts zako
Je ulishawahi kuuliza nawezaje kuweka pesa kwa brokers
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure but kusema kweli, kuhudhuria training itakua uongo... Labda mambo yote yaelezwe hapa.Ukiwa na pupa hii biashara huta iweze kaka tulia iyo pesa unayo sema mtaji ni mdogo then unataka uingie kichwa kichwa utapigwa K.O hiyo hauta sahau...
Ina shauriwa u practice na demo A/C mpka pale utakapo kua fit ndio uanze kucheza na Real A/C haijalisha ni 2/3 months
So be Patient kila kitu kitawekwa sawa na ONTARIO[\b] himself
google Pixel
Cha kwanza, tafuta broker anayefaa, mi personally ntakupa link ya kufungua demo kwa broker huyoSure but kusema kweli, kuhudhuria training itakua uongo... Labda mambo yote yaelezwe hapa.
Em nielekeze namna ya kufungua hata hiyo demo account nianze ku practice sasa
Okay, sasa anza na kunielewesha namna ya kufungua account.Hapo ndipo utakapokosea..
Mimi ckuwa namchallenge kwamba haeleweki, ukisoma vizuri nlichoandika utagundua kitu.
Changamoto yangu, co mtaji wala nauli, changamoto nlyotaja ni BROKERS.
kuna watu kupitia uzi huu tayari wanapga hela ndefu, na bahat nzuri kuna mabroker wengne minimum amount ya deposit ni mpaka $50 na wengne $25, na kuna wengne wanakupa hadi mtaji kabisa, so kwangu mtaji co ishu.
Ishu nloiongelea ni kwamba akilaunch school, watu tukapiga kitabu, itakuwaje upande wa mabroker?
Kumbuka kuwa mabroker wengi ni wa nje, na weng ni nje ya Africa though huenda wana presentatives wao.
Sasa wana utaratibu wao wa kudeposit na kuwithdraw pesa ambao kibongobongo una hatua ndefu sana, ni tofauti na kama tungekuwa na broker hapahapa tz, au akawepo presentative wa broker hapa tz, ingekuwa rahis kuweka na kutoa pesa, mana ungekuwepo utaratibu ulio customized kwa mazingira ya tz.
Hilo ndilo wazo langu, na nkauliza analionaje yeye? Training bro co lazma uende leo, mana hapa tu kwenye uzi ni training tosha, kama utajibiidisha kusoma na kufanya demo kila cku.... Labda kama ile elimu ya chuo ya kujitafutia materials na kusoma bila kusimamiwa kwako ni ngumu, hapo kweli utafeli.
Nimebet sana bro, lakini tangu nimeanza hii kitu, nimeapa kuwa ctobet tena, sbb nlikaa na kuwaza pesa napga na napgwa, nimeona ni hasara kiasi gani nimepata...
Ile pesa unabetia, ndio mtaji wako.
Cheers!!
<> semper fi <>
Broker najuaje kama huyu anafaa au hafai? Hao ma broker nawapata sehemu gani nijichagulie hapo mmoja?Cha kwanza, tafuta broker anayefaa, mi personally ntakupa link ya kufungua demo kwa broker huyo
<> semper fi <>
XM ni mzuri kwa beginers:Broker najuaje kama huyu anafaa au hafai? Hao ma broker nawapata sehemu gani nijichagulie hapo mmoja?
Great news from cre.forex on IG.. Jamaa wamefika aisee hio road trip sio mchezo.
Nimekaa hapa nasubiri uzi mpya tu nikakate ticket yangu na mimi road trip ianze[emoji4][emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekaa nikawaza kwann wameamua kutumia barabara sijapata jibuGreat news from cre.forex on IG.. Jamaa wamefika aisee hio road trip sio mchezo.
Nimekaa hapa nasubiri uzi mpya tu nikakate ticket yangu na mimi road trip ianze[emoji4][emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
May be watatuambia tukikutana nao class..[emoji39] au nadhani hawakutaka wakija huku wahangaike inshu za usafiri au kununua magari mengne so wakaamua kuja na yakwao and also for the sake of adventure.Nimekaa nikawaza kwann wameamua kutumia barabara sijapata jibu
pengine wanapenda kusafiri kama mm na kufurahia uumbaji wa Mungu , i love nature
We si mfanyabiashara always negativityTatizo la wewe ni kama la huyo mwngne, I know everything, lakn cjatoa wazo la brokerage company thinking about MYSELF.
Nawaza kuhusu WENGINE watakaoamua kuifanya hii biashara, wanaweza kukatishwa tamaa tu kwa milolongo ya akaunts wanazopaswa kufungua...
Ivi kama ukiulizwa leo XM anaaccept Mastercard deposits, hafu una kadi ya NMB ya Mastercard lakini huwez kudeposit direct mpaka ufungue akaunt ya skrill utajibu nini?
That's what I'm thinking, co uvivu wa kufikiri...
Hii inaitwa thinking outside of the box!
Unadhani kungekuwa na broker tz tungekuwa na ulazima wa kuwa na akaunt za skrill wakati kuna mastercard za CRDB, FNB, NMB?
think about it man!
Acha kuweka assumptions, kama huelewi, uliza ueleweshwe!
<> semper fi <>
Wewe c unajua mambo ya electronic? Unadhani wote watakaoingia wanajua electronic?We si mfanyabiashara always negativity
So hizo njia ulizosema zina matatizo gani kwani mtu hafikii lengo la kudeposit pesa kwa brokers au huyo broker akiwa tz utampa pesa mkononi
Eti mlolongo mrefu kwani unaomba chuo tcu au mkopp loan board
Hizi process ni za ki_electronic kwa 90% only 10% ni physically pale unapoenda weka hela bank so huo mzunguko au foleni iko wapi acha kutisha watu kama wew unazijua waelekeze
Sent using Jamii Forums mobile app
fanya kutuma link nijiunge sasa niweke dollar 30 chap hapa