Lost Doctor
Member
- Apr 4, 2015
- 48
- 94
Boss kama umestaarabika naomba ufute post yako ndugu. Umequote uzi wote afu page ya kwanza. Si ustaarabu boss wangu. Jaribu kufuta ama kuedit kwa kufuta quote yote. Mbona hata angalizo nimetoa mkuu, sasa kitu kidogo huwezi kuelewa utaweza kuelewa forex trading ndugu?!Nimeipenda Na kupata uelewa kwa mbali kuhusiana Na hii Forex trading,nipo mkoani bit natamani niwe miongoni mwa hao Mia tatu wa kwanza watakaopata hiyo training
Hata Kama utaweka jokes za kila namna,, nitajitahidi hata kwa kukopa nifike kwenye hiyo training.Tafadhali tupe utaratibu mapema iwezekanavyoBoss kama umestaarabika naomba ufute post yako ndugu. Umequote uzi wote afu page ya kwanza. Si ustaarabu boss wangu. Jaribu kufuta ama kuedit kwa kufuta quote yote. Mbona hata angalizo nimetoa mkuu, sasa kitu kidogo huwezi kuelewa utaweza kuelewa forex trading ndugu?!
Wanaume wa mikoani bwana. Hahahaa!! Jokes!