spea mkononi
JF-Expert Member
- Oct 5, 2015
- 345
- 324
wote bdo tunajifunza kama upo tayar kusoma vitabu sema tukutumieDah mbona huku kila mtu anajua teyari ,sijaona mtu aliepost anaanza jifunza forex kisha akatoa mrejesho..mi sijui pa kuanzia guys nabaki msindikizaji.. any help pls..i have a desire in this trade. I really do and im ready for whatever challenge i might face...
sasa hapo mkuu mbona majibu unayoJamani naomba mnisaidie hivi MTU ana burn account kivipi? Yaani hicho kitendo cha kuburn account kinatokeaje? Naomba NA mifano dhaili,mfano Mimi nimetrade nili execute upande wa buy nikitegemea price itapanda, ilifikia hatua nilipata loss ya dolla 500 ,lakini sikufunga account Nikki cha baada ya Massa mawili nikakuta graph imepanda NA nimepata faida ya dollars 300,so yaani MTU anapofikia hatua ya Ku burn account inakuaje?
Aise nitashukuru sana boss ukipata kunitumia hivyo vitabu, im ready to learn... Kama ni kwa whatsapp number ni 0738 237 966 ...wote bdo tunajifunza kama upo tayar kusoma vitabu sema tukutumie
huo ndo mwanzo wa kuanza kuijua hii kitu
ce wenyew tulikua hatujui chochote ila baada ya kuanza kusoma vtabu atleast now tunaanza kuelewa huu mchezo
Ahsante sana naomba unisaidie NA kitu kingine ,embu kwa mfano Nina $200 harafu nikaweka REVERAGE ya 1:100,it means Nina trade 20000 units,je NA hapa kuunguza account inakuwaje?Ni rahisi, ku burn acc ni kupata hasara inayolingana na akiba yako.
Kwa mfano una balance ya $200,
Uka open position 2 za pair moja au tofauti, eidha sell au buy ukitegemea kutengeneza faida lkn zikaenda kinyume na matarajio yako yaani yakaanza kuwa negative hadi hasara inalingana na mtaji wako yaani $-200, hapo acc yako inajifunga, tayari imeungua
poa nakutumiaAise nitashukuru sana boss ukipata kunitumia hivyo vitabu, im ready to learn... Kama ni kwa whatsapp number ni 0738 237 966 ...
mkuu msaada kidg kitabu cha trading in the zone na kile cha kingie cha john murphy kama sikosei kama unavyo pdfwote bdo tunajifunza kama upo tayar kusoma vitabu sema tukutumie
huo ndo mwanzo wa kuanza kuijua hii kitu
ce wenyew tulikua hatujui chochote ila baada ya kuanza kusoma vtabu atleast now tunaanza kuelewa huu mchezo
Leverage ni mkopo broker anakupa. Haina uhusiano na kuunguza au kutounguza akaunti. Ila ni rahc kuunguza akaunti kama ukitumia leverage kubwa, mana movement ya pips chache katika market itarespond na amount kubwa katika kiasi cha pesa katika akaunt.Ahsante sana naomba unisaidie NA kitu kingine ,embu kwa mfano Nina $200 harafu nikaweka REVERAGE ya 1:100,it means Nina trade 20000 units,je NA hapa kuunguza account inakuwaje?
NA tofauti ya leverage NA lots ni nn?Leverage ni mkopo broker anakupa. Haina uhusiano na kuunguza au kutounguza akaunti. Ila ni rahc kuunguza akaunti kama ukitumia leverage kubwa, mana movement ya pips chache katika market itarespond na amount kubwa katika kiasi cha pesa katika akaunt.
Leverage ni amplification factor, ndo mana wanasema ni risk kutumia leverage kubwa
Leverage: amplification factor ya either faida au hasara.NA tofauti ya leverage NA lots ni nn?
Thanks manLeverage: amplification factor ya either faida au hasara.
Lot: kipimo cha jumla cha ununuzi/uuzaji.
boss kutuma file humu cjuimkuu msaada kidg kitabu cha trading in the zone na kile cha kingie cha john murphy kama sikosei kama unavyo pdf
boss kutuma file humu cjui
nielekeze
mkuu msaada kidg kitabu cha trading in the zone na kile cha kingie cha john murphy kama sikosei kama unavyo pdf
asante mkuuView attachment 591657
Reply.
Binya icon ya office pin.
Browse folders.
Select unachokitaka.
Touch and send.
Doh, umezifuma! Leo mi nashndwa kutrade kabisa, mana celew elew kbs.... Naona celew trend zaendaje
Labda nijue we leo watrade katika timeline gani..
Sasa mbona j4 na j5 ndio siku za mapene..balaa lilikuepo jana..full mapicha pichaDoh, umezifuma! Leo mi nashndwa kutrade kabisa, mana celew elew kbs.... Naona celew trend zaendaje
Nlikuwa nachek timeline ya 15M, Ngoja niende kwa 5M.Sasa mbona j4 na j5 ndio siku za mapene..balaa lilikuepo jana..full mapicha picha
Jana kwa real akaunt yangu nlipiga $15.63 nkaacha. Mana daily target nimejiwekea $10Sasa mbona j4 na j5 ndio siku za mapene..balaa lilikuepo jana..full mapicha picha