Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Dah mbona huku kila mtu anajua teyari ,sijaona mtu aliepost anaanza jifunza forex kisha akatoa mrejesho..mi sijui pa kuanzia guys nabaki msindikizaji.. any help pls..i have a desire in this trade. I really do and im ready for whatever challenge i might face...
wote bdo tunajifunza kama upo tayar kusoma vitabu sema tukutumie
huo ndo mwanzo wa kuanza kuijua hii kitu
ce wenyew tulikua hatujui chochote ila baada ya kuanza kusoma vtabu atleast now tunaanza kuelewa huu mchezo
 
Jamani naomba mnisaidie hivi MTU ana burn account kivipi? Yaani hicho kitendo cha kuburn account kinatokeaje? Naomba NA mifano dhaili,mfano Mimi nimetrade nili execute upande wa buy nikitegemea price itapanda, ilifikia hatua nilipata loss ya dolla 500 ,lakini sikufunga account Nikki cha baada ya Massa mawili nikakuta graph imepanda NA nimepata faida ya dollars 300,so yaani MTU anapofikia hatua ya Ku burn account inakuaje?
sasa hapo mkuu mbona majibu unayo
assume ungekua na hyo dola 500 tuu kweny acc n nn kingetokea au chini ya iyo amount
so hapo ungekua ushaungiza acc zaman mnoo
 
wote bdo tunajifunza kama upo tayar kusoma vitabu sema tukutumie
huo ndo mwanzo wa kuanza kuijua hii kitu
ce wenyew tulikua hatujui chochote ila baada ya kuanza kusoma vtabu atleast now tunaanza kuelewa huu mchezo
Aise nitashukuru sana boss ukipata kunitumia hivyo vitabu, im ready to learn... Kama ni kwa whatsapp number ni 0738 237 966 ...
 
Ni rahisi, ku burn acc ni kupata hasara inayolingana na akiba yako.
Kwa mfano una balance ya $200,
Uka open position 2 za pair moja au tofauti, eidha sell au buy ukitegemea kutengeneza faida lkn zikaenda kinyume na matarajio yako yaani yakaanza kuwa negative hadi hasara inalingana na mtaji wako yaani $-200, hapo acc yako inajifunga, tayari imeungua
Ahsante sana naomba unisaidie NA kitu kingine ,embu kwa mfano Nina $200 harafu nikaweka REVERAGE ya 1:100,it means Nina trade 20000 units,je NA hapa kuunguza account inakuwaje?
 
wote bdo tunajifunza kama upo tayar kusoma vitabu sema tukutumie
huo ndo mwanzo wa kuanza kuijua hii kitu
ce wenyew tulikua hatujui chochote ila baada ya kuanza kusoma vtabu atleast now tunaanza kuelewa huu mchezo
mkuu msaada kidg kitabu cha trading in the zone na kile cha kingie cha john murphy kama sikosei kama unavyo pdf
 
Ahsante sana naomba unisaidie NA kitu kingine ,embu kwa mfano Nina $200 harafu nikaweka REVERAGE ya 1:100,it means Nina trade 20000 units,je NA hapa kuunguza account inakuwaje?
Leverage ni mkopo broker anakupa. Haina uhusiano na kuunguza au kutounguza akaunti. Ila ni rahc kuunguza akaunti kama ukitumia leverage kubwa, mana movement ya pips chache katika market itarespond na amount kubwa katika kiasi cha pesa katika akaunt.

Leverage ni amplification factor, ndo mana wanasema ni risk kutumia leverage kubwa
 
NA tofauti ya leverage NA lots ni nn?
 
boss kutuma file humu cjui
nielekeze
Screenshot_20170919-154147.png

Reply.
Binya icon ya office pin.
Browse folders.
Select unachokitaka.
Touch and send.
 
Doh, umezifuma! Leo mi nashndwa kutrade kabisa, mana celew elew kbs.... Naona celew trend zaendaje
Sasa mbona j4 na j5 ndio siku za mapene..balaa lilikuepo jana..full mapicha picha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom