1M ,5MLabda nijue we leo watrade katika timeline gani..
Nzur hiyo mkuuJana kwa real akaunt yangu nlipiga $15.63 nkaacha. Mana daily target nimejiwekea $10
Ukitrade sana hukawii kujivuruga!Nzur hiyo mkuu
Njia nzuri ya kucheza na market iliyo katika consolidatio period ni ku apply lastkiss strategy..Nimeikamata Gold inastruggle katika consolidation... Analytics mniambie, breakout itakuwa juu au chini?
Hata mnaobet mnisaidie tu kubet![emoji3] View attachment 591417
I ate only bread with water twice a day for four months as a means to save 90 percent of my meal allowance. The four months were difficult but enabled me to save $200 which I used to purchase 100 chickens, rehabilitate old chicken housing, hire one person, and, in September 2013, launch Jefren Agrifriend Solutions (JAS), which provides inexpensive food and fertilizer to the food insecure.nimejifunza kitu hapo!
Naomba niunganishwe kwa group LA hilo LA telegram mkuuNipo kwenye group telegram kuna wadau wanachora hadi ma butterfly huko, hatari asee vijana mmeamka
Hii huunganishwi unajiunga mwenyewe, nenda playstore download telegram then fungua huu Uzi click hiyo link itakupeleka kujiungaNaomba niunganishwe kwa group LA hilo LA telegram mkuu
@TradersLibrary TraderLibrary to enter, click on the following link: [emoji116]Hiyo link ya hilo group la telegram IPO wapi wakuu?
Mkuu hiyo traders library kuna group LA telegram lipo active nilikuwa Mara ya mwisho Kabla ya kupoteza simu.@TradersLibrary TraderLibrary to enter, click on the following link: [emoji116]
Traders Library
Hapa watu hawapost chochote... Kuna vitabu karibu vyote. We join, download na usome. Ucpost kitu.
Kabla ya ku quote post, hiyo link ingekupeleka hapoMkuu hiyo traders library kuna group LA telegram lipo active nilikuwa Mara ya mwisho Kabla ya kupoteza simu.
Mwenye Link ya lile group atuwekee hapa Humu nimejaribu kulitafuta naona patupu
Masada plizi
Nimeifungua mkuuKabla ya ku quote post, hiyo link ingekupeleka hapo
Kweli mkuu,sijui boroka,sijui peyonea,sijui sikurii hayo yote Mimi nilikuwa siyajuigi,Ok kwel forex itatufungulia mambo mengi ya kitehama tulokua hata hatuyafikirii
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu hapo kwenye kufungua master card isiyo NA account unafungua kwa hizo local banks eg FNB,ABC,etc au unafungua kwa piyoneer? NA unapofungua unawaambia kwamba isiwe NA account au ndio inakuaga haina account? NA kwa upande wa pioneer kwenye physical address kwa mfano Mimi nipo Musoma uswailini nitajazaje NA wakati hawataki niandike p.o.box?Masahihisho ..ni PAYONEER na sio pioneer..x
1. Uko sahihi sana unatakiwa kulink na skrill kwani Payoneer hawakubali transaction za individual kuepusha kufadhili ugaidi..wanataka pesa yako itoke kwenye makampuni ya online services eg skrill, worldremit na mengineyo.
Ukinisoma kwa posts za nyuma nimewaeleza unapojaza kazi na kusudio la ac ujaze hivi;
1. Online working
2. Forex trading
Ndipo uweze kuruhusiwa kutrade.
Wako makini sana ukijaza vinginevyo watataka link ya store yako au biashara yako...ujue hii ni ya kimarekani...utatakiwa u attach banking statement na swift code ya bank yako na watafuatilia kwa bank yako wajiridhishe kama taarifa zsko ni za kweli. Ukivuka viunzi hivi sasa usumbufu wa kutrade kwishaaaa
2. Kutoka local akaunt;
Pata mastercard isiyo na ac..mfano I&M bank...hii unajaza madolari yako itume kwa skrill ili umtumie broker wako..ukishspata faida rudisha kwa skrill ili uzitume PAYONEER BANK ili u withdrawal bila vikwazo vya bank.
Ukiwa na swali zaidi karibu
Kuna master card ya multicurrency hii unajaza pesa kwa ajili ya manunuzi au ikiwa unasafiri popote duniani utatoa pesa atm yenye master card kwa local currency ya nchi husika, hii inafaa zaidi kwa kutuma pesa to skrill to broker.Sasa mkuu hapo kwenye kufungua master card isiyo NA account unafungua kwa hizo local banks eg FNB,ABC,etc au unafungua kwa piyoneer? NA unapofungua unawaambia kwamba isiwe NA account au ndio inakuaga haina account? NA kwa upande wa pioneer kwenye physical address kwa mfano Mimi nipo Musoma uswailini nitajazaje NA wakati hawataki niandike p.o.box?
Kwani mkuu inabidi huu mchakato uwe NA MasterCard ngapi? Kuna local banks eg ABC,kuna payoneer nayo si unakua NA MasterCard yake,then inafuata hiyo MasterCard isiyo NA ac? Naomba msaada hapo mkuuKuna master card ya multicurrency hii unajaza pesa kwa ajili ya manunuzi au ikiwa unasafiri popote duniani utatoa pesa atm yenye master card kwa local currency ya nchi husika, hii inafaa zaidi kwa kutuma pesa to skrill to broker.
Kuhusu anuani andika mtaa, p.o.box haikubaliki
Daah, hili jambo nimetolea ufafanuzi sana na wengi wameweza, sijui umepata ugumu upi!!!Kwani mkuu inabidi huu mchakato uwe NA MasterCard ngapi? Kuna local banks eg ABC,kuna payoneer nayo si unakua NA MasterCard yake,then inafuata hiyo MasterCard isiyo NA ac? Naomba msaada hapo mkuu
Mkuu wengine slow learner mtuvumilie2Daah, hili jambo nimetolea ufafanuzi sana na wengi wameweza, sijui umepata ugumu upi!!!
Nisaidie2 kwa Mara ya mwishoDaah, hili jambo nimetolea ufafanuzi sana na wengi wameweza, sijui umepata ugumu upi!!!