yaani unataka kuwa broker.?wakuu naomba kupata utaratibu wa kufuata pamoja na vibali husika kulingana na sheria za nchi. Nina lengo la kuanzisha hii biashara ya Forex ili iweze kuwanufaisha wengi.
Katika hii mambo hamna shortcut zaidi ya kusoma, je ushasoma vitabu vingapi?Ninapata Wakati mgumu kutafsiri taarifa zinazoweza kuathiri trend ya pairs.
Mathalani, unaposema unemployment rate imeongezeka au kupungua, Je ni kwa namna gani itaiathiri au kunisaidia kuamua Long or Short.
Tafadhali naomba Maelezo kwenye hili huku ukiangalia pia biashara za dhahabu, Mafuta na kauli za akina Trump na wababe wengine wa dunia, please!!!
yaani unataka kuwa broker.?
Nami ndo napambana nijue kutumia clean graph... Wikiend hii, ndo muda wa kubukua naked forexMchawi wa Fx ni support na resistance(zones) na kufahamu pia kuna muda zones zinavunjwa baada ya muda fulani, candle sticks ni muhimusana pia kufahamu uelekeo wa trend kwa kuangalia higher time frame chart to Lower time frame kisha ukifahamu uelekeo unaingia kwa either day chart ,ya za chini yake kama day chary, 4 hrs na 1 hr chart
Mimi nàtumia pia 30 min chart na za chini zaidi kufamu kufahamu nini kinatokea muda huu ambapo day chart, 4hr chart, na 1 hr chart huchelewa kunijulisha.
Naked forex na price actions kwa sasa ndio vitabu vyangu bora.
Sifahamu chochote kuhusu hizo Elliot wave theory,Fibonacci, ichimok nk, Ila Nina uhakika wa kupata faida kila.siku
wakuu naomba kupata utaratibu wa kufuata pamoja na vibali husika kulingana na sheria za nchi. Nina lengo la kuanzisha hii biashara ya Forex ili iweze kuwanufaisha wengi.
Kuna kijana tulikua nae humu anaitwa Lodrick Thomas yeye ndio angeweza kukupa mwongozo... Akiwa hewan mtafute na yeye akuongezee ujuzi...Asante kwa majibu yenu. Mimi ni msomaji lakini Wakati kwenye kufanya technical analysis sina shida, nikija kwenye kuunganisha matukio yaani Technical na fundamental analysis ndio hapo kwenye shida.
Naweza kujua kuwa trends za pairs zitakwendaji ndani ya TF fulani lakini likija suala la fundamental analysis Ku support technical analysis, hapo ndio mtihani.
Anyway, mwanzo mgumu. Technical vs fundamental zitaeleweka mdogomdogo.
Maana imebidi nirudi home TZ kujiuliza, kwa sasa purchasing power imeshuka sana. Je hii imeifanya silingi iweje? Nionavyo mimj tshs imekuwa stable against USD kwa muda mrefu kidogo kwa sababu nguvu ya watu na gvt kuagiza bidhaa zinazohitaji dola imepungua.
Na hivyo, ni kama pair hii TZS/USD imekuwa ili consolidate kwa muda sasa. Lakini kama itatokea watu na gvt wakahitaji kuagiza bidhaa kwa wingi kutoka nje, nguvu ya shilingi itapungua na hivyo kuongeza thamani ya dola Demand/Supply?!!??!!
Hivyo ikifika hapo itabidi watu waliokuwa na dola waziuze kwa gharama kubwa kidogo kuliko Bei ya sasa.
Kama kwenye Maelezo hayo Niko sahihi 'thanks'.
Sasa kauli za Trump na wababe wengine kiuchumi/kisiasa zinaathiri vipi pairs?
Tafadhali naomba ufafanuzi ndugu zangu.
Msinikatishe tamaa maana ninapiga msuli kwenye Vitabu tulivopewa ila nahisi nahitaji msaada kwenye eneo hili.
ngojea nikujibu hapo kwenye kauli za Trump ni hivi Trump anapoongea kuhusu kuingia vitani na north korea unajua vita ni gharama kwa hiyo uchumi wa Marekani utaathirika na hivyo kupelekea dola kushuka thaman............hii inapelekea watu wenye kumiliki dola wataziuza kwa kasi sana kuliko kununua sababu wanajua vita vikianza watapata hasara kwa sababu thamani ake itakuwa imeshuka..........kwa hiyo mauzo ya dola yatakuwa mengi kupita manunuziAsante kwa majibu yenu. Mimi ni msomaji lakini Wakati kwenye kufanya technical analysis sina shida, nikija kwenye kuunganisha matukio yaani Technical na fundamental analysis ndio hapo kwenye shida.
Naweza kujua kuwa trends za pairs zitakwendaji ndani ya TF fulani lakini likija suala la fundamental analysis Ku support technical analysis, hapo ndio mtihani.
Anyway, mwanzo mgumu. Technical vs fundamental zitaeleweka mdogomdogo.
Maana imebidi nirudi home TZ kujiuliza, kwa sasa purchasing power imeshuka sana. Je hii imeifanya silingi iweje? Nionavyo mimj tshs imekuwa stable against USD kwa muda mrefu kidogo kwa sababu nguvu ya watu na gvt kuagiza bidhaa zinazohitaji dola imepungua.
Na hivyo, ni kama pair hii TZS/USD imekuwa ili consolidate kwa muda sasa. Lakini kama itatokea watu na gvt wakahitaji kuagiza bidhaa kwa wingi kutoka nje, nguvu ya shilingi itapungua na hivyo kuongeza thamani ya dola Demand/Supply?!!??!!
Hivyo ikifika hapo itabidi watu waliokuwa na dola waziuze kwa gharama kubwa kidogo kuliko Bei ya sasa.
Kama kwenye Maelezo hayo Niko sahihi 'thanks'.
Sasa kauli za Trump na wababe wengine kiuchumi/kisiasa zinaathiri vipi pairs?
Tafadhali naomba ufafanuzi ndugu zangu.
Msinikatishe tamaa maana ninapiga msuli kwenye Vitabu tulivopewa ila nahisi nahitaji msaada kwenye eneo hili.
nimelike mkuu ili upate trophy iliyoitafutaKumaliza wino to wa Jf
Vitabu vipo vingi ya forex nenda kasome
Kama lugha kwako ni tatizo basi pambana na hali yako kilikuja na ndege kile alafu tuliwafukuza mapema
Kumekowepo na mwamko mkubwa wa watu ,kutaka kuifahamu biashara ya forex.Na ktk biashara hii kuna watu ambao wanajulikana kama mabroker .Watu wamekua wakitaka kutrade na kupata faida.lakini hatufahamu hasa nn wanakifanya brokers na wanapataje faida?.Pia na umuhimu wao?Kwa hiyo bas ni waombe wale wanaofahamu watujuze.Labda inaweza kuwa fursa kwa mtu anayewaza kuwa broker wa fx tz.Karibuni .@ontario,
Bavaria
Al-Watan
na wote mnaofahamu
Zitajiuza kwa Mara moja kama uli set either sell limit or sell stop kwa bei hiyohiyo moja, na uelekeo wa trend ukiziifikia hizo ulizoset zinajifungua ktk same price
WwKuna anayefahamu kufungua 5 positions(Orders) at the same price. Kwa mfano nimefungua pair EUR/GBP SELL nataka zijirudie 5 times at the same price. Msaada tafadhali
Mkuu ww ni developer? tengeneza scripts zako za mql-metatrader ambazo zitafanya hiyo kazi na unaweza ukaziuza. hii ni script ya kufunga orders zote kwa wakati mmojaWewe unasemea Pending Orders. Mim siko uko mkuu