Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
habari wakuu kwanza shukrani kubwa sana maana nimejifunza mambo mengi sana hapa sasa ninahitaji msaada je ninaweza kudiposit ela kwa benki ya crdb kwenye live acc yangu kupitia visa acc na je min deposit ni usd 100 maana platform ninayotumia (iq option) inanionesha min deposit ni usd 10 ninaomba msaada wenu wakuu
 
pia wakuu mi ninatrade after news release hususa ni saa nane mchana mpaka saa kumi jioni kwakua cna uwezo wa kutambua trend ya market na muda gani itageuka(trend reversal) kama kuna mtu mwenye ufahamu zaidi juu ya kuingia kwenye trade bila ya news release anawezaje kutambua muda gani aingie na muda gani atoke
 
Chasha tushakujua uache utoto sasa ..wewe ni Mtu mzima. Hii vita utashindwa tu
 
Kuna mtu anahangaika humu ndani kama anatafutia watu pesa za kutrade forex..Ushatoa maangalizo kibao watu hawakuelewi achana nao endelea na maisha yako ebooooo...
 
Nimefanya mazoezi ya kutosha na kusoma vitabu...kwa sasa nina mwanga kwa kiasi chake....katika kuongeza maujuzi napenda kujua vitu vifuatavyo..
1) nataka nishift from demo account to real account, how do i go about??
2) brokers ambao most of you mnatumia hasa mliohudhuria kwenye seminors ni wapi??
3)is it possible kwa hao brokers kufanya transactions via credit cards zetu kama crdb, nbc, nmb na nyinginezo??
4) kama jibu la 3 ni ndio process zipoje....
Lets share what we have so that tunaweza kujikwamua...
Natanguliza shukran kwanza
 
Hakuna Credit card zipo Debit card izo visa na master, Yes you can deposit the money via Bank kama tu card ni visa or master
 
Internet money, forex whatever IS A WASTE OF TIME. Yu talk of LUmu what of you, umenunua magari yakifahari, maprivate jet au hayo maghorofa mangapi. Fake fake fake JAMANI MNIAMINI THIS IS ALL FRAUND NA HUYU JAMAA ATAWAPIGA HELA SIJUI ZA KUJIUNGA SIJUI STARTER SEED WHATEVER.
 
Mkuu ukipost Mara moja inatosha na tunaona vizuri punguza hasira mzee
 
Mkuu ukipost Mara moja inatosha na tunaona vizuri punguza hasira mzee
Nakerwa na hawa watu wa scams coz wanarubuni watu wengi na of coz majinga ni mengi ya kudanganywa na kupigwa hela. Ila inanikera the way these scamer wanarubuni watu. Wanapamba articles zao kwa maneno ya waridi huku ni wezi majizi makubwa. Maisha mazuri yanapatikana ka kufanya kazi kwa juhudi na HAKUNA short cut. Wanaotafuta pesa za bure bure za haraka haraka wanaangamia kila sku. Most scamers ni wa Naigeria na wa Afrka kusuni naona kuna wabongo nao sasa wanaanza kujifunza scaming and fraunding.
 
Na kama lengo lake ilikua kutoa elimu na sio scaming why is he trying drain people's attaintion on him. Eti local banks zinapinga forex na kusumbua kutoa hela, THE TRUTH IS HAWAWEZI KUTOA FRAUND MONEY ITS NOT EVEN REALLY, NI UTAPELI WA HALI YA JUU NA WOTE MTAKAO JIPELEKA NA KUJIUNGA KWA "KUTUPA" VIJIPESA VYENU KUJIUNGA. MSIJESEMA SIKUWATAHADHARISHA
 
Kaka hii comment yako ni ya [HASHTAG]#8583[/HASHTAG],tumeshatahadharika mpaka tumeshindikana,acha tu atutapeli.Unajua ulimwengu huu wa science & Tech hata Forex ipo mtandaoni twaisoma kabisa. Mm nikuambie tu Tarehe 23 naanza mafunzo ya kitapeli pale Jangid Plaza ntakuja kutoa ushuhuda namna nimefuzu kwenye Course ya utapeli,afu malipo yake sasa kuna mentorship 6 months ya namna ya kuendelea kujitapeli(maana sioni namna ya kutapeli mwingine)
Shukrani za Dhati kwa Ontario n Team mbarikiwe sana,nilikuwa naisikia forex sijui namna ya kuanza ila kupitia vitabu nnavyosoma naamini pia hata training itanifungua macho.
 
Acha kutumia internet kuangalia pornography, ungeweza kutumia internet kugoogle if forex is a scam or not badala ya kuja kuandika ujinga wako hapa. Ujinga ni kuwaza ili upate hela ya halali basi ni lazima utoke jasho na damu. Pia ni ujinga kuwaza kwamba forex ni hela rahisi bila kufikiria ni kiasi gani cha muda imewacost watu mpaka kuijua forex. Kama unaona ni utapeli, nenda kalime huko tusipotezeane muda hapa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…