Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Ya tumekuwelewa endelea kukerwa sisi wengine huu "utapeli" tumeupenda na haturudi nyuma pia kumbuka hakuna short cut kwenye forex.
 
Na kama lengo lake ilikua kutoa elimu na sio scaming why is he trying drain people's attaintion on him. Eti local banks zinapinga forex na kusumbua kutoa hela, THE TRUTH IS HAWAWEZI KUTOA FRAUND MONEY ITS NOT EVEN REALLY


Kubwa zima hata Kizungu cha kuokotea makopo kinakushinda.
Ukipewa Forex Bible yenye page 600 utaishia Kujinyea tu.
 
Ndo uwezo wako wa kufkiria umeishia hapa?
 

Oct 11 Joining Date hapa JF, nikuulize swali la kawaida tu, hivi ushafanya utafiti wa kutosha ambao ukakuwezesha wewe kuyazungumza haya unayoyazungumza?

Sisi tumekomaa toka mwezi May 2017 tuka na Ontario katika safari hii ya Forex sasa tunakaribia kufika wewe unataka kutuharibia safari kwa ufinyu wako wa kufikiri!!!!

Naomba nikufahamishe kuwa ushachelewa
 

Tuseme haukutupa taarifa hivi we nani katika Forex? Wacha kujishaua Dogo!!
 
Sasa mbona umechelewa kutuambia ulikuwa wapi siku zote tangu may 2017
 
Mkuu same to me mm nimeridhia kabisa kutapeliwa kiroho safi sihitaji ushauri mana sikopi wala kuomba hela sihitaji kupewa ushauri w namna yoyote then nani kasema FOREX INA EASY MONEY HAKUNA EASY MONEY FOREX, NO SHORTCUT FOREX, ONTARIO NIPO TAYARI UNITAPELI KABISA MUDA SIO MREFU UNAKUJA MJI MKUU KARIBU,
 
So FX ni shortcut???
 
It's too late "baby girl"
 

Unaweza kipakua hapo,mi pia ni mmoja wa wanaofatilia kwa karibu uzi huu,naomba kujua application/website inayotumika kutrade hasa kwa beginners,Asante sana
 

Attachments

Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…