Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
mkuu forex is not burea de change, waache wenye uwezo wa kutake calculated risks watrade naamini baadae watakuja kuwitness. I like to try things in case I see a return in there. Failing is one step in a jouney to success. There is no way you will succeed without failing.

Naamini wapo watakao anza na kutusua na wapo watakao anza na kufail kisha wakaacha pia wapo watakao anguka na kusimama tena.

Mm ntaanza hii kitu after two years coz bado nasoma and I need to have atleast two passive incomes ili nianze forex. Lakini pia nahitaji kuisoma vizuri forex na kuielewa. Ontario amesoma zaidi ya vitabu 7 tena letter after a letter, word after word, line....., point after a point tena kichwa chake kikali kama unavyowajua ma-engineer na ndo akaja kuanza kutrade tena under mentorship.

Waache wachache wanaotaka asali katika mzinga uliojaa nyuki watafute.
 
asante.
 
Mtoa mada anaongea kuhusu risk za forex na members baadhi wanasisitiza risk ya hii busness lakn watu wamepokea kirahis sana wanataman ata sasa iv waingie sokon ad najiulza watakuwa wamenunuliwa nini!!???
Ok busness hii inaitaj soma la kina la muda mrefu na umakin wa hali ya juu lakn kuzngatia inshu ya ku qoute uzi wangi wamefeli tena mwngne anakuambia ana masters cjui ... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sasa kama broker anakula commission kutoka kwa retailers, inawezekanaje broker apige chapaa wakati huo retailers wake wakiloose? Yaani hapa sijakuelewa kabisa
Hahaa haya mambo siyo rahisi kama unavyodhani

Ni kweli broker anategemea commission lakini haina maana kila mara trader unapo win pekee.

Iko hivi.....ukijiunga broker wanatumia mentality hii kujinufaisha.

Wanatengeneza two separate categories. Labda kwa mfano A and B

Kwa akili ya kawaida tu broker anafahamu asilimia 95 ya watakaojiunga hawatakuwa wana win in a consistent way na kwa kuwa wata give up basi nguvu anaelekeza kwenye kupata traders wapya.

Ukiwa smart ndiyo unaingia kwenye 5% ya wachache wanaotengeneza chapaa ya maana in a consistent manner.

Hapa broker anaanza kuwa makini zaidi. Asingependa ushinde kila dili ina consistent way kwasababu uki blow account yako hela iliyopo inaenda kwa broker.

Noma sana

Fikiria umeblow account yenye $7000 kwa mtu usiye na kipato cha kueleweka. Utalia au utapasua computer[emoji23] [emoji23]

Kifupi ni tahadhari tu.

Lakini ukweli mchungu ni 95% wata lose halafu wata give up.

Broker ataendelea kutafuta new traders.
 
Mkuu Ontario. Niweke kwenye list ya shamba Darasa!
 
Hili ndo tatizo la kuajiriwa! Unataka kufanya biashara au unataka kujiridhisha kama anachosema Ontario ni sahihi?
Mfanyabiasha yeyote huwa ana take calculated risk, kwahiyo lazima kuwa well informed with enough research ili husipoteze pesa kwa pupa pupa. Hamasivyo utaishia kupoteza pesa au mufilis kama capital yako finyu!
 
Swala la kublow account wala sijalikataa ila itatokana na uelewa wako kuhusu unachofanya na nafikiri ni vyema kuanza hii kitu ukiwa well informed. Haya maswala ya mtu anasoma post ya Ontario tu alafu anaanza kuuliza broker yuko wapi na sijui kadi za kuwithdraw pesa zinapatikanaje ndo itawapoteza wengi. Jamaa kaandika mwenyewe kwanza kabla hajaanza amesoma vitabu saba bila kufanya kitu tena akiwa ndani ya mentorship nzito! Hii ni sawa na semister moja ya chuo kikuu tena si tu kumeza madesa ila unasoma vitabu na kuelewa kila kitu vizuri
 
Mfanyabiasha yeyote huwa take calculated risk, kwahiyo lazima kuwa well informed with enough research ili husipoteze pesa kwa pupa pupa. Hamasivyo utaishia kupoteza pesa au mufilis kama capital yako finyu!
Ni kweli lakini hilo lisiwe confused na indecision na procrastination.
 
Hii mada imekuja kwa wakati sahihi kulingana na hali ya maisha ilivyo sasa.MwanaJF kama kweli una nia,usikurupuke na Hakikisha unakuwa na maarifa ya kutosha kuhusiana na hiyo biashara.Big up broh
 
Hakuna formula sahihi sana kuwin kwenye Fx hata kama umesoma kiasi gani

If that was the case serikali na mashirika makubwa ya kifedha yasingekuwa yanapoteza pamoja na kuwa na world class experts kwenye finance na mambo yote.

Ukijulia mambo yanavyokuwa na kutengeneza chapaa broker haraka ataanza kuplace order opposite na yako. Hata kama atadai yeye ni clear.

Ukiblow account ni faida kwake si mchezo japo pia angeweza tu kutegemea commission.

Kumbuka hii mambo ni highly unregulated. Kwa maana hii manipulation ni rahisi tu

Mtu aliye safe kwenye hii mambo ni broker na pengine big financial institutions.

Ni mambo ya kujua tu haya

Haimaanishi hautapata chapaa.

Set goals and go after them man.

Ball is in your court
 
Inamaana ontario lengo la kukusanya watu yeye awe broker ambapo atajiweka sehem salama zaid[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aya bhn tupo pamoja na somo [emoji120] ..
 
Hiki kitabu nimepitia leo...chapter mbili tu!!

Kiuhalisia si kazi rahisi kama mtu unavyoweza kudhani. Good news is..ukiweka nia na muda unatoboa!

So far kwa research nliyofanya ili ufanikiwe lazima uwe rafiki wa vitabu...lazima uwe ndugu wa youtube haza kwenye videos za forex...

Hii mambo haitaki mihemko ila Taratibu tutafika!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…