Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu forex is not burea de change, waache wenye uwezo wa kutake calculated risks watrade naamini baadae watakuja kuwitness. I like to try things in case I see a return in there. Failing is one step in a jouney to success. There is no way you will succeed without failing.ONTARIO's orchestration to you guys is to venture into forex business. This needs a tranquilized mind to diget this. The idea is superb and I have rhetorically being saying this. But, the idea is not idealistic now serve for the future generation.
You seem to be too naive in this complicated financial trade. Do you think it's just a click of your fingers on your computer keyboard that'll make you trans act in international trade? No way. In any investment you must have CAPITAL, and where do you get this forex capital if you don't have anything generating it?
Nikakupa exchange rate ya Somalia against our shilling, bahati mbaya ww ukaona kwamba hiyo ndo translation ya uchumi, maskini we. Nimekupa hiyo ili akili yako ifanye kazi ya kujiuliza maswali mengi.
Ni watu kama nyie ambao hamjawahi ku fanya practically any forex transaction mnabwabwaja bila kujua.
asante.Huu Uzi ni mzuri sana katika kuwafundisha watu juu ya biashara ya FOREX
Binafsi Nina uzoefu wa hii biashara, kwa hiyo napenda kushare machache humu ili watu watambue faida na risk zake..
Kwanza kifupi ni kwamba hii biashara sio rahisi kama wengi wanavyodhani, ina hitaji umakini wa hali ya juu maana unakuwa umekubaliana na mambo mawili. Profit au loss.
Hatua ya kwanza kabisa inabidi uchague broker (hapa pia panahitaji umakini).. Baada ya kuchagua broker inabidi umstudy kwa kina maana kumbuka kwamba wewe unahitaji profit na broker nae anahitaji profit kupitia ku-loose kwako au kuwin (hapa ni brokers wachache)
Kifupi ni kwamba unahitaji kupata uzoefu kidogo kwa kuangalia trend ya biashara kwenye FOREX lakini pia kupitia mtu ambaye ana uzoefu wa kutosha kwenye hii biashara FOREX (hapa itabidi upate mkweli)
Jambo lingine LA msingi ni kufahamu risk ambazo utakumbana nazo katika hii biashara, tambua kwamba kila mtu anahitaji faida kupitia hii biashara, kwa hiyo kupata kwako loss ndio faida kwa mwingine (kwa lugha nyingine naweza kusema ni struggle for the fittest)
Nirudi kwa mtoa mada, kwanza nimpongeze kwa kujaribu kuelezea kwa ufupi uhalisia wa biashara hii lakini kuna Vitu ametazamia kwa lengo la yeye kujiongezea kipato (japokua kihalali) kutoka wa watu watakao kuwa tayari kuianza biashara hii..
Nafafanua kidogo:-
1. Mtoa mada amesema ana mpango wa kufungua office na kutoa train kwa watu 300 bure kwa kushirikiana na brokers alioingia nao ubia (ni wazo zuri)
Naamini train hiyo itakuwa inamzungumia broker (aliyeingia nae ubia) jinsi anavyofanya kazi, offer zake na faida kwa mtu atakayejiunga kupitia huyo broker...
Kwahiyo baada ya train hao watu 300 watajiunga na kuwaambia wengine kujiunga kupitia broker aliyewapa train (na hapa ndipo anapopata faida kupitia watu wanaomtumia broker aliyeingia nae ubia.. Kwahiyo hapo wewe pamoja na broker your fighting for profit... kwahiyo mmoja aki-lose ndio faida ya Mwingine).. Ndio maana nasema hapa inahitaji umakini mkubwa sana.
2. Kama lengo LA mtoa mada ni kugain profit kupitia ubia wake na broker na watu watakaojiunga. Basi naamini katika training atajikita zaidi kuelezea benefits zaid kuliko risks maana target yake ni kuku-win wewe, kwa mantiki hiyo hawezi kujikita zaidi katika risk maana anajua utaogopa atakukosa.
Ndio maana Jambo la msingi unapaswa kujiuliza ni kwanini mtoa mada amekubali kuingia gharama zote hizo kuleta mentors?? (Usifikiri in positive ways pekee yake, check on both side +ve & -ve)
Pili kwanini sahivi anataka kufungua office?? Kwanini asingetengeneza Whatsapp group akatoa elimu bila kusubiri apate office ili atoe fursa kwa watu wa mikoani??
Maana me naamini kumpatia mtu juu ya hii elimu haihitaji uwe na ofisi wala uwe nae ana kwa ana (me niliipata hii elimu kupitia internet pamoja na kusoma vitabu, lakini sahivi nafanya vizuri)
Mwisho nawashauri ni vizuri mkawa makini sana na kujiridhisha kwa kina kabla ya kufanya maamuzi.
NB: hayo ni mawazo yangu kulingana na uelewa wangu na uzoefu wangu juu ya biashara ya FOREX, sijatoa kwa lengo LA kum-criticise mtu bali kwa lengo la kuelimisha zaid.
Hahaa haya mambo siyo rahisi kama unavyodhaniSasa kama broker anakula commission kutoka kwa retailers, inawezekanaje broker apige chapaa wakati huo retailers wake wakiloose? Yaani hapa sijakuelewa kabisa
Sijawahi ona uzi kwenye hii forum una kasi namna hii...
Kweli wabongo tunapenda helaaa
Mfanyabiasha yeyote huwa ana take calculated risk, kwahiyo lazima kuwa well informed with enough research ili husipoteze pesa kwa pupa pupa. Hamasivyo utaishia kupoteza pesa au mufilis kama capital yako finyu!Hili ndo tatizo la kuajiriwa! Unataka kufanya biashara au unataka kujiridhisha kama anachosema Ontario ni sahihi?
Swala la kublow account wala sijalikataa ila itatokana na uelewa wako kuhusu unachofanya na nafikiri ni vyema kuanza hii kitu ukiwa well informed. Haya maswala ya mtu anasoma post ya Ontario tu alafu anaanza kuuliza broker yuko wapi na sijui kadi za kuwithdraw pesa zinapatikanaje ndo itawapoteza wengi. Jamaa kaandika mwenyewe kwanza kabla hajaanza amesoma vitabu saba bila kufanya kitu tena akiwa ndani ya mentorship nzito! Hii ni sawa na semister moja ya chuo kikuu tena si tu kumeza madesa ila unasoma vitabu na kuelewa kila kitu vizuriHahaa haya mambo siyo rahisi kama unavyodhani
Ni kweli broker anategemea commission lakini haina maana kila mara trader unapo win pekee.
Iko hivi.....ukijiunga broker wanatumia mentality hii kujinufaisha.
Wanatengeneza two separate categories. Labda kwa mfano A and B
Kwa akili ya kawaida tu broker anafahamu asilimia 95 ya watakaojiunga hawatakuwa wana win in a consistent way na kwa kuwa wata give up basi nguvu anaelekeza kwenye kupata traders wapya.
Ukiwa smart ndiyo unaingia kwenye 5% ya wachache wanaotengeneza chapaa ya maana in a consistent manner.
Hapa broker anaanza kuwa makini zaidi. Asingependa ushinde kila dili ina consistent way kwasababu uki blow account yako hela iliyopo inaenda kwa broker.
Noma sana
Fikiria umeblow account yenye $7000 kwa mtu usiye na kipato cha kueleweka. Utalia au utapasua computer[emoji23] [emoji23]
Kifupi ni tahadhari tu.
Lakini ukweli mchungu ni 95% wata lose halafu wata give up.
Broker ataendelea kutafuta new traders.
Ni kweli lakini hilo lisiwe confused na indecision na procrastination.Mfanyabiasha yeyote huwa take calculated risk, kwahiyo lazima kuwa well informed with enough research ili husipoteze pesa kwa pupa pupa. Hamasivyo utaishia kupoteza pesa au mufilis kama capital yako finyu!
Natamani siku moja tuonane,lakini acha iwe taratibu....usiache kuhudhuria,if God wishes ntatoa mtaji wa kutosha tuanze with full force ikibd tumpite founder😀Sawaaa
Hakuna formula sahihi sana kuwin kwenye Fx hata kama umesoma kiasi ganiSwala la kublow account wala sijalikataa ila itatokana na uelewa wako kuhusu unachofanya na nafikiri ni vyema kuanza hii kitu ukiwa well informed. Haya maswala ya mtu anasoma post ya Ontario tu alafu anaanza kuuliza broker yuko wapi na sijui kadi za kuwithdraw pesa zinapatikanaje ndo itawapoteza wengi. Jamaa kaandika mwenyewe kwanza kabla hajaanza amesoma vitabu saba bila kufanya kitu tena akiwa ndani ya mentorship nzito! Hii ni sawa na semister moja ya chuo kikuu tena si tu kumeza madesa ila unasoma vitabu na kuelewa kila kitu vizuri
Think about it plzUnazungumzia tuseme live broadcast kama zinavyorushwa na watu YouTube au FB. If that's it ni idea nzuri sana sana, we can think of it. Thanks!
Inamaana ontario lengo la kukusanya watu yeye awe broker ambapo atajiweka sehem salama zaid[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakuna formula sahihi sana kuwin kwenye Fx hata kama umesoma kiasi gani
If that was the case serikali na mashirika makubwa ya kifedha yasingekuwa yanapoteza pamoja na kuwa na world class experts kwenye finance na mambo yote.
Ukijulia mambo yanavyokuwa na kutengeneza chapaa broker haraka ataanza kuplace order opposite na yako. Hata kama atadai yeye ni clear.
Ukiblow account ni faida kwake si mchezo japo pia angeweza tu kutegemea commission.
Kumbuka hii mambo ni highly unregulated. Kwa maana hii manipulation ni rahisi tu
Mtu aliye safe kwenye hii mambo ni broker na pengine big financial institutions.
Ni mambo ya kujua tu haya
Haimaanishi hautapata chapaa.
Set goals and go after them man.
Ball is in your court