Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Acha utoto kumfananisha Ontario na Vitu vya kijinga. Pumba&u
 
Ameshindwa kwenda kuwakataza wanaobet alf pumbf pesa unatupa ww mbona watu wanaiba, wanageuza ndg zao misukule il kupt pesa ww bi miongon mwao acha watu wapambane na hal zao
 
Ameshindwa kwenda kuwakataza wanaobet alf pumbf pesa unatupa ww mbona watu wanaiba, wanageuza ndg zao misukule il kupt pesa ww bi miongon mwao acha watu wapambane na hal zao
Mm hawa watu wanaotupa tahadhari kwann wasiwape wadogo zao au ndugu zao wanaowategemea huko, hapa sisi ni watu wazima tuna kazi zetu tuna maisha yetu tunatafuta hela kwa majasho yetu, jamani mtuache tu tutapeliwe maana tumeshakubali kutapeli big up tapeli Ontario na kampun yako utapeli TMT, TIME WILL TELL HATERS[emoji41]
 
Dah! Asante mkuu,ONTARIO, but naomba unijulishe qualification za mtu anaestahiki kusomea hayo mambo ya Forex maana sie wengine shule zetu zilikuwa za kina kayumba na istoshe level yetu ni ile ya vilaza walotimuliwa UDOM ( kidato cha 4).

Pia,naomba kujua hyo forex trade naweza kuanza na mtaji kias gan kwa kima cha chini?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapa unatakiw lugha ya kizungu iwe inapanda vizuri na upende kusoma
 
huko mkoa gani? anza kusoma hii thread page ya kwanza ujue mkoa wako wanakuja lini nadhani kiingilio ni 130,000
 
Wakuu nimetrade na tick mill kwa ile bonus ya 30$ sasa nimefikisha 150$ naomba munielekeze namna ya kuwidraw
Huwezi withdraw,unachofanya ni kuhamisha kwa acc ingine ya tickmill,nakushauri fungua tickmill pro account,utatakiwa kudeposit 100$ ndo wataruhusu uhamishe.
 
Ameshindwa kwenda kuwakataza wanaobet alf pumbf pesa unatupa ww mbona watu wanaiba, wanageuza ndg zao misukule il kupt pesa ww bi miongon mwao acha watu wapambane na hal zao
Mkuu betting ni biashara halali na inalipa pesa nyingi kwenye kodi. Ila sidhani kama hii biashara yenu mnalipa kodi.. Sisi tumeshakuwa addicted na betting wacha tuendeleee
 
Mkuu betting ni biashara halali na inalipa pesa nyingi kwenye kodi. Ila sidhani kama hii biashara yenu mnalipa kodi.. Sisi tumeshakuwa addicted na betting wacha tuendeleee
Betting ni kamari sio biashara.

Ni vema umesema mwenyewe kwamba upo addicted lakini ungetumia muda wako kijifunza Forex ingekuwa vema zaidi Mkuu
 
Sasa Mkuu hayo matatizo yako na Melo usiyalete kwenye uzi wetu
 
Ni biashara ndiyo maana inalipa kodi. Hembu nipe tofauti ya betting na forex huenda nikakuelewa.
Tofauti ipo kubwa sana Boss

Naweza nikasema hakuna sehemu yoyote duniani wanapofundisha Betting ila forex imejaa wakufunzi Kama TMT.

Bila Shaka umeipata point yangu Mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…