Melo na Jamii forum kwa hili la The Bold mnamuonea, Mbona Ontario hafungiwi
Discussion in '
Jukwaa la Siasa' started by
Naila one,
A moment ago.
Thread Tools
Unwatch Thread
N
Naila one Member
#1
A moment ago
Joined:Oct 4, 2017
Messages:
18
Likes Received:22
Trophy Points:
5
Kijana mmempiga Ban ya karibia miezi sita sasa. kosa lake lipi kubwa humu. kutangangaza forum yake ya kusoma story za intelligence. Kama ni kosa sawa, mmeshampa adhabu..mbona hamfungulii. wengi sana tulikuwa tunapenda habari zake.
Melo mi nadhani hauchezi fair aisee. Mbn Ontario anatangaza biashara zake kwa kukutumia jamii forum....( au kuna dizaini flani au siyo)..semeni kama wengine hatufai humu..)
Jamii forum imekuwa kubwa kwasababu ya sisi..wengine tumeanza 2009 humu..sahau kuhusu hizi akaunti mpya mpya tunazotumia zingine..ni kwa usalama tu..mabomu tunayotuma humu balaa na tunaogopa Noah ya Roma..
Hamfanyii fair The bold..siyo ungwana kabsa huo..jukwaa lile now limepoa sana. tunalilia humu uongoz wa magu siyo wa demokrasia lakini nyie wenyewe hamko fair kabsa. najua uzi huu mtafuta lakini sms imefika maana na nyinyi siku hizi mnakili kama za mange kimambi mkisemwa kidogo tu ban na kufuta uzi za watu...?? mkiufuta huu uzi..ntauleta tena kivingine.
KAKA WA TAIFA AMETABSAMU LEO kutokea Nairobi, Mungu Mkubwa sana.
Melo bring back the bold:
twendezetu na the bold..