Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.


Aisee hii kitu si mchezo. Watu wanaongea kiwepesiwepesi tuu na wanaona ni kitu easy tokana na mdau ontario alivyozungumza na kusimulia. Mind you, my friend kwa jinsi nilivyoanza kusoma hicho kitabu alichorecomend ontario, Kama wewe ulikuwa ni wa kudesa material na kuingia na vibomu katika pepa, bora ujiweke kando na hii biashara. Hii ni biashara kwa wale walio smart na walio tayari kudedicate muda wa kutosha katika hii kitu pamoja na kujifunza vitu vipya.

Ndugu zanguni, yakuhitaji kufunga mkanda haswa katika hili ili kutoboa.
 
Wakati naperuzi huko nimekutana na hii kwenye website ya http://www.fxcc.com..........................................................
RISK WARNING: Trading in Forex and Contracts for Difference (CFDs), which are leveraged products, is highly speculative and involves substantial risk of loss. It is possible to lose all the initial capital invested. Therefore, Forex and CFDs may not be suitable for all investors. Only invest with money you can afford to lose. So please ensure that you fully understand the risks involved. Seek independent advice if necessary
 
Inamaana ontario lengo la kukusanya watu yeye awe broker ambapo atajiweka sehem salama zaid[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aya bhn tupo pamoja na somo [emoji120] ..
Well, naweza nisijue sana malengo yote ya mkuu ONTARIO ila ni wazi moja ya lengo lake ni kutengeneza faida

Ndiyo business hiyo

Na Forex ni cutthroat business. You apply every technic to attract and win the market.

Ndiyo raha ya business hiyo.

Siku zote seller anajua costumer ni passive na anatumia huo mwanya kupiga chapaa
 
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] Mnaboa mnao quote uzi mrefu hivi halafu mnaandika tumaneno tuwili.....
Kwanini msistaarabike mkaandika comment zenu tuu!!!

Mnawatesa wanaotumia Jf app na vifaa vidogo bhana!! [emoji16] [emoji36] [emoji36]
Kuna watu wengine unaweza kujikuta una watukana buree..
Ule ban
 
Binafsi Katika pita pita zangu nilikutana na ebooks hizi ambazo ni muhimu katika jinsi ya kutrade forex.
Pakua hapo[emoji116]


Cc ricardo_samata
 
Duu jamaa inaelekea ni mgumu kuelewa pamoja na maelezo yote aliyoelezewa hapa, mkuu ONTARIO count me in pia katika wale 300
 
Kisome kwa moyo wote mkuu. Kitakupa mwanga wa nini unataka kukifanya.
Anza na part three kwanza ukimaliza uje part ya kwanza na ya pili.

Ahsante kwa ku_share nasi Bavaria , Nimekipata Hiki hapa kwa wengine watakao kihitaji.

Pitia post namba 441 na namba 663 kama kwenye hizi quotes hujaona links!

Cc ricardo_samata
 
Nimejaribu kufuatilia kwa makini kuanzia kwenye mtandao nikaona hii ni biashara halali kabisa kuanzia wikipedia wanaelezea vizuri kabisa nikakumbuka na chanel inaitwa Bloomberg TV ambayo inatangaza mpaka Brokers kama Interactive Brokers na kuna market nyingi sana za kuuza na kununua pesa pia hii chanel inaelezea kupanda na kushuka kwa bidhaa mbalimbali hivyo inaweza kuwa na msaada
Pili hapa shule na kujituma kunahitajika, kumbuka hii ni kazi kama kazi nyingine sasa basi inabidi ujue programming yaan pale kwenye page ya Broker kuna namna ya kuandika programming iwe inaku update pale soko linapotokea lenye bei kubwa kuliko uliyonunulia ili upate faida mfano umenunua dollar kwa TShs 2000/- basi ikitokea soko la kwa 2050 ikuambie ili upate faida.
Tatu inabidi uwe na mtaji mkubwa ndio utaona faida yake kama unavyoona hapo chini kwenye attachment kuwa faida ni 0.% au 1% au 2% kwa bahati sana.....
mfano sasa kama ulikuwa na 1milion ukiuza kwa 1% profit utakuwa na faida ya 10,000
ila kwa mtu mwenye 100milion akiuza kwa 1% profit atakuwa ametengeneza faida ya 1 million.

Risk.
Risk inakuja pale tuu ambapo ulinunua halaf soko likashuka na lisipande kwa mda mrefu kuzidi pesa uliyonunulia inamaana kama unategemea hiyo hela kwa matumizi mengine basi itakubidi uuze kwa hasara.

Ushauri wangu ni kwamba kama umeamua kufanya hii biashara basi uwe na njia ingine ya kukupa income ili kuepuka kuuza kwa hasara. Pia uwe mtandaoni mara kwa mara na uwe na Broker ambaye yuko shapu maana hela ikipanda kila mtu anawahi hilo soko kwa hiyo itasababisha lishuke haraka tena kwa haraka
 

Attachments

  • IMG_20170527_193726.jpg
    59.5 KB · Views: 135
  • IMG_20170527_194213_066.JPG
    43 KB · Views: 131
  • IMG_20170527_195816.jpg
    46.7 KB · Views: 122
  • IMG_20170527_195825.jpg
    46.4 KB · Views: 122
yani mkuu kwa jinsi vijana tunavopenda mambo raisi raisi, yani mtu anajua yeye na computer yake home anapiga hela.
Pia mada imeretwa kwa kuonyesha ishu ni raisi mno ndo mana hata wachangiaji tu naona wana kiwewe na ndo wengi watakao chemka. Tunadhani huu ni uterezi umekuja. Me nadhani hii ishu inaitaji mda sana kujifunza, na tuwe na subira sana.
 
..
 

Attachments

  • IMG_20170527_195804.jpg
    37 KB · Views: 112
  • IMG_20170527_195802.jpg
    38.3 KB · Views: 114

Well said
 
Nifanyeje au niwe na sh ngapi kuanza forex business
 
Kwanza nikupongeze kwa upambanaji wako na kuonyesha njia. Cha pili nataka kujua what is it in for you? Is it real free or there is a catch somewhere? May be in commission once they start trading or in providing access to mentor-ship. Nimeuliza tu kujua motive of why choosing to train 300 individuals for free. Nachofahamu there is no free lunch.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…