Hapo sasa! Ndiyo maana baadhi yetu tumekuwa tunauliza maswali mengi wanatuona roho za korosho. Ni wazi huwezi join
www.forex.com kwa vigezo vingi sana. Watu badala kuuliza maswali ya maana kwa Ontario wanapigania nafasi ya watu 300 kama daladala!
Hawajui kwamba wakishapewa training ya bure, the next thing ni kutoa pesa kwa registration kwa ajili ya mastercard ambayo siyo ya benki! Bali ni zile prepaid mastercard za kuweka pesa zako mwenyewe, inayotumika kujiwekea na kutolea pesa tu. Na watakuwa hawana choice ya broker, the only platform watakayo hitajika kutumia ni ya broker huyohuyo aliyewapa training. Na zaidi, hiyo mastercard haitowawezesha ku register kwenye
www.forex.com sababu ni PREPAID Mastercard.
All I can say ni kua duniani kuna watu wa ajabu sana. Mtu mpvmbavu hua anahisi anajua kila kitu hat km ni upvmbavu. Unaongea vitu ambavyo hata huelewi ni nini [emoji23] kuna matraders humu kina
Bavaria Abraham Suleiman natamani waone huu upuuzi.
Acha niwe na akiba ya maneno nisije kuonekana sikubali kua challenged ht kama challenge ni pumba - watakuja traders wengine uamini kua ulichoandika ni upupu. Naomba nianze na vilaza wangu 300 afu niwafanyie huo upvmbavu unaousema afu warudi hapa JF kunitukana.
Nilivyo mjinga wa akili nipoteze $3000 kwa mwezi ya Office tena kwa miezi 6, nipoteze pesa zng za kuset up office furnishing, partitioning nk, nichome gharama za kuwaleta mentors, nichome muda wng kwa kitu ambacho sina uhakika nacho, basi mimi nitakua mmoja ya watu wapvmbavu zaidi kuwahu kuishi duniani.
Naomba unichukulie utavyonichukulia, utasema maneno mengi kwakua hujui unaejaribu kupambana nae. Hujui what I'm good at and what I'm weak at, in life sijawahi kufanya kitu then nikaQuit katikati. Kuna watu wana iron hearts, roho za chuma - no matter what hawarudi nyuma. Kuna watu ni kama nguruwe, utamchafua kadri utakavyo kumbe anaenjoy the play.
I need quality students, I don't need numbers. Hata nikianza na watu 20, nikawasaidia kuturn $300 kuwa $2000 ndani ya mwezi wananitosha sana kueneza habari zangu. Hadi nafikisha miaka mi2 nitakua nimefikia at least my short time goal.
Let me show you how I will prove you the other way round - sitajibu tena utvmbo ambao mtu hajawahi kutrade anaongea, mtu hajui hata maana ya pip anajifanya anaichambua forex, mtu hata maana ya bull hajui lkn anaeneza maneno ya kukatisha watu tamaa. Nasema hivii, nitasambaza signals kwa wanafunzi wangu hadi mtakoma. [emoji23]