Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
100,000USDWhat is lot size?
All I can say ni kua duniani kuna watu wa ajabu sana. Mtu mpvmbavu hua anahisi anajua kila kitu hat km ni upvmbavu. Unaongea vitu ambavyo hata huelewi ni nini [emoji23] kuna matraders humu kina Bavaria Abraham Suleiman natamani waone huu upuuzi.
Acha niwe na akiba ya maneno nisije kuonekana sikubali kua challenged ht kama challenge ni pumba - watakuja traders wengine uamini kua ulichoandika ni upupu. Naomba nianze na vilaza wangu 300 afu niwafanyie huo upvmbavu unaousema afu warudi hapa JF kunitukana.
Nilivyo mjinga wa akili nipoteze $3000 kwa mwezi ya Office tena kwa miezi 6, nipoteze pesa zng za kuset up office furnishing, partitioning nk, nichome gharama za kuwaleta mentors, nichome muda wng kwa kitu ambacho sina uhakika nacho, basi mimi nitakua mmoja ya watu wapvmbavu zaidi kuwahu kuishi duniani.
Naomba unichukulie utavyonichukulia, utasema maneno mengi kwakua hujui unaejaribu kupambana nae. Hujui what I'm good at and what I'm weak at, in life sijawahi kufanya kitu then nikaQuit katikati. Kuna watu wana iron hearts, roho za chuma - no matter what hawarudi nyuma. Kuna watu ni kama nguruwe, utamchafua kadri utakavyo kumbe anaenjoy the play.
I need quality students, I don't need numbers. Hata nikianza na watu 20, nikawasaidia kuturn $300 kuwa $2000 ndani ya mwezi wananitosha sana kueneza habari zangu. Hadi nafikisha miaka mi2 nitakua nimefikia at least my short time goal.
Let me show you how I will prove you the other way round - sitajibu tena utvmbo ambao mtu hajawahi kutrade anaongea, mtu hajui hata maana ya pip anajifanya anaichambua forex, mtu hata maana ya bull hajui lkn anaeneza maneno ya kukatisha watu tamaa. Nasema hivii, nitasambaza signals kwa wanafunzi wangu hadi mtakoma. [emoji23]
100,000USD
mkuu ama ulimaanishaje?..maana sentensi yako ni kama inauliza ni nini maana ya lot size..kwa uelewa wangu lot size ni kiwango unachokusudia kununua kwa safari mojaWhat is lot size?
Jamaa kaandika mwenyewe kwanza kabla hajaanza amesoma vitabu saba bila kufanya kitu tena akiwa ndani ya mentorship nzito! Hii ni sawa na semister moja ya chuo kikuu tena si tu kumeza madesa ila unasoma vitabu na kuelewa kila kitu vizuri
kaka hebu nieleze nielewe...hii lot size si ndio kiwango cha fedha unazokadiria kununua kwa safari moja ama ina maana nyingine?Hakuna lot size ya aina hii. Labda ulikuwa unamaanisha equity?
Hiki kitabu nimepitia leo...chapter mbili tu!!
Kiuhalisia si kazi rahisi kama mtu unavyoweza kudhani. Good news is..ukiweka nia na muda unatoboa!
So far kwa research nliyofanya ili ufanikiwe lazima uwe rafiki wa vitabu...lazima uwe ndugu wa youtube haza kwenye videos za forex...
Hii mambo haitaki mihemko ila Taratibu tutafika!!
Nimekisoma kitabu chapter moja tu na kupitia videos utube nk, nikagundua kuwa hii kitu haihitaji mihemko aisee!! It needs time,alot of time to learn na uwe smart.
Msikurupuke jamani, jipeni muda wa kutosha kuielewa hii kitu.
Good news ni kuwa inawezekana ukiwa na nia ya dhati.
kaka hebu nieleze nielewe...hii lot size si ndio kiwango cha fedha unazokadiria kununua kwa safari moja ama ina maana nyingine?
Asante kipanga mtarajiwa nshakua na mentality ya kidon saiv nmeacha kula balimiTuko pamoja mkuu, hebu tuufuatilie mchezo kimya kimya in the shadows, then batch ya pili ikifika tunaingia jumla.
Tutakua vipanga mkuu!
Ndio maana tunasisitiza tusome kwa bidiina kuelewa mambo!Lot size ni leverage mkuu.
Micro lot 1 pip = 0.1 USD
Mini lot 1 pip = 1 USD
Standard lot 1 pip = 10 USD.
Kwahiyo kama unatrade kwa standard lot ya 10 ina maana kila pip inayoongezeka unakuwa unatengeneza 100 USD. Na ikienda agaist wewe unakuwa una loose 100 USD kwa kila pip.
Ndio maana tunasisitiza tusome kwa bidiina kuelewa mambo!
Shukrani mkuu, ngoja nipambane hadi kieleweke.Upo sahihi kabisa.
Nikupe siri moja, jikaze mwezi mzima (tuseme June) unasoma vitabu ili upate ABCs.
July ufanye mwezi wa kusoma strategies mbalimbali.
August, ufanye mwezi wa kuitumia demo yako kutest hizo strategies zako ulizoweka.
September, anza na 100USD kufanya live trading. Mpaka hapo utakuwa better off.
Kama hujiamini anza October na live trading.
Fanya kwa moyo mmoja..
Naona kama umeamua kutuita wateja zako watarajiwa wapumbavu pasipo na sababu yeyote. Mimi nilitegemea jinsi ulivyo mwalimu na mwandishi mzuri ungetumia busara zaidi kutujibu, lakini you lost it kwa kuni refer mimi kama mpumbavu. Bora niwe mpumbavu sasa ili nieleweshwe kuliko kuwa mpumbavu to the end.All I can say ni kua duniani kuna watu wa ajabu sana. Mtu mpvmbavu hua anahisi anajua kila kitu hat km ni upvmbavu. Unaongea vitu ambavyo hata huelewi ni nini [emoji23] kuna matraders humu kina Bavaria Abraham Suleiman natamani waone huu upuuzi.
Acha niwe na akiba ya maneno nisije kuonekana sikubali kua challenged ht kama challenge ni pumba - watakuja traders wengine uamini kua ulichoandika ni upupu. Naomba nianze na vilaza wangu 300 afu niwafanyie huo upvmbavu unaousema afu warudi hapa JF kunitukana.
Nilivyo mjinga wa akili nipoteze $3000 kwa mwezi ya Office tena kwa miezi 6, nipoteze pesa zng za kuset up office furnishing, partitioning nk, nichome gharama za kuwaleta mentors, nichome muda wng kwa kitu ambacho sina uhakika nacho, basi mimi nitakua mmoja ya watu wapvmbavu zaidi kuwahu kuishi duniani.
Naomba unichukulie utavyonichukulia, utasema maneno mengi kwakua hujui unaejaribu kupambana nae. Hujui what I'm good at and what I'm weak at, in life sijawahi kufanya kitu then nikaQuit katikati. Kuna watu wana iron hearts, roho za chuma - no matter what hawarudi nyuma. Kuna watu ni kama nguruwe, utamchafua kadri utakavyo kumbe anaenjoy the play.
I need quality students, I don't need numbers. Hata nikianza na watu 20, nikawasaidia kuturn $300 kuwa $2000 ndani ya mwezi wananitosha sana kueneza habari zangu. Hadi nafikisha miaka mi2 nitakua nimefikia at least my short time goal.
Let me show you how I will prove you the other way round - sitajibu tena utvmbo ambao mtu hajawahi kutrade anaongea, mtu hajui hata maana ya pip anajifanya anaichambua forex, mtu hata maana ya bull hajui lkn anaeneza maneno ya kukatisha watu tamaa. Nasema hivii, nitasambaza signals kwa wanafunzi wangu hadi mtakoma. [emoji23]
[emoji23] [emoji23] we ovyo kweliMi nikionaga picha za kuegemea gari, kusimama na mzungu najuaga tu naingizwa box!