Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Nimekisoma kitabu chapter moja tu na kupitia videos utube nk, nikagundua kuwa hii kitu haihitaji mihemko aisee!! It needs time,alot of time to learn na uwe smart.
Msikurupuke jamani, jipeni muda wa kutosha kuielewa hii kitu.
Good news ni kuwa inawezekana ukiwa na nia ya dhati.

Hii kitu siyo ya mchezomchezo. Yaani hapa nipo break baada ya kumaliza chapter. Ila ni full kurudiarudia sentensi Maana i am new in accoutancy/finance field.
 
Watanzania wt wangekua km ww bro onta yani tungekua mbali. Nimesoma comments zako hadi natamani kulia. Mungu akuomgezee, si kila mtu ana moyo km wako wa kusaidia. Live long kk.
lia kidg mkuu upunguze na maumivu ya kuibiwa mchanga[emoji24] [emoji24]
 
Hii kitu siyo ya mchezomchezo. Yaani hapa nipo break baada ya kumaliza chapter. Ila ni full kurudiarudia sentensi Maana i am new in accoutancy/finance field.
Yaani kama sisi wapya ndio kabisaaa inatakiwa muda wa kutosha uipate hii elimu kisawa sawa. Its not as aesy kama watu walivyoichukulia haraka haraka.
 
Ontario amechokoza hiki kitu muhimu lakini anatakiwa awe tayari kujibu maswali mengi, mfano nimeona ukitaka kujiunga na demo account ikiwa uko Tanzania inagoma sababu haipo kwenye listi yao, hivyo anatakiwa atoe maelezo namna ya kufungua demo ac pia, so naunga mkono group
Hapo sasa! Ndiyo maana baadhi yetu tumekuwa tunauliza maswali mengi wanatuona roho za korosho. Ni wazi huwezi join www.forex.com kwa vigezo vingi sana. Watu badala kuuliza maswali ya maana kwa Ontario wanapigania nafasi ya watu 300 kama daladala!

Hawajui kwamba wakishapewa training ya bure, the next thing ni kutoa pesa kwa registration kwa ajili ya mastercard ambayo siyo ya benki! Bali ni zile prepaid mastercard za kuweka pesa zako mwenyewe, inayotumika kujiwekea na kutolea pesa tu. Na watakuwa hawana choice ya broker, the only platform watakayo hitajika kutumia ni ya broker huyohuyo aliyewapa training. Na zaidi, hiyo mastercard haitowawezesha ku register kwenye www.forex.com sababu ni PREPAID Mastercard.
 
Yaani kama sisi wapya ndio kabisaaa inatakiwa muda wa kutosha uipate hii elimu kisawa sawa. Its not as aesy kama watu walivyoichukulia haraka haraka.

Ila ngoja tukomae, hakuna cha burre dunia hii. Good things are not free, na free things are not good. Nina uhakika nitapata mwanga tuu wa nini kinaendelea hapa.
 
mchana kutwa nimekuwa nikisoma hichi kitabu kuongezea na pdf flani..ila hii demo account imegoma kabisa kufunguka..
 
Inahitaji muscles wakuu sio rahisi rahisi lakini tutafika tu hii sio get rich quick scheme la hasha
 
Biashara zote dunian zinasimama kwenye kanuni moja: 'supply and demand', weka akili yako hapo na utafakari what are supplying to fulfill the certain demand? Alichosema ONTARIO si kipya na kadadvua vizuri, ila mimi nikasema kwa sasa hapa Tz hakiwezekani labda kizazi kijacho. Nikirudi kwenye kanuni ya 'supply and demand' kwa kuangalia biashara ya forex ninajiridhisha pasi na shaka kwamba ni NDOTO kufanikiwa kwa sasa hapa Tz with the trending political economies surrounded with people whose blogged minds are like yours.

The law of supply and demand is the theory explaining the interaction between the supply of a resource (forex in this case) and the demand for that resource. The law of supply and demand defines the effect the availability of a particular product and the desire (or demand) for that product has on price. Generally, a low supply and a high demand increases price, and in contrast, the greater the supply and the lower the demand, the lower the price tends to fall.
Duu ...sijui hata kama unaelewa watu wanaongelea nini kwenye uzi huu...kwenye uzi huu watu wanaongelea machungwa wewe unaongelea maembe!
 
Hii kitu inahitaji muda na kuwa mjanja na ujiongezeee maarifa zaidi, kujipiga pesa kuko nje nje, yaani unajifilisi mwenyewe na kwa hiari, nimefanikiwa kudownload demo account ya kujipa mazoezi yaani unahitaji kuwa makini kupita maelezo
Wawekee link hapa ya hiyo demo na wenzio wapate
 
Hapo sasa! Ndiyo maana baadhi yetu tumekuwa tunauliza maswali mengi wanatuona roho za korosho. Ni wazi huwezi join www.forex.com kwa vigezo vingi sana. Watu badala kuuliza maswali ya maana kwa Ontario wanapigania nafasi ya watu 300 kama daladala!

Hawajui kwamba wakishapewa training ya bure, the next thing ni kutoa pesa kwa registration kwa ajili ya mastercard ambayo siyo ya benki! Bali ni zile prepaid mastercard za kuweka pesa zako mwenyewe, inayotumika kujiwekea na kutolea pesa tu. Na watakuwa hawana choice ya broker, the only platform watakayo hitajika kutumia ni ya broker huyohuyo aliyewapa training. Na zaidi, hiyo mastercard haitowawezesha ku register kwenye www.forex.com sababu ni PREPAID Mastercard.

All I can say ni kua duniani kuna watu wa ajabu sana. Mtu mpvmbavu hua anahisi anajua kila kitu hat km ni upvmbavu. Unaongea vitu ambavyo hata huelewi ni nini [emoji23] kuna matraders humu kina Bavaria Abraham Suleiman natamani waone huu upuuzi.

Acha niwe na akiba ya maneno nisije kuonekana sikubali kua challenged ht kama challenge ni pumba - watakuja traders wengine uamini kua ulichoandika ni upupu. Naomba nianze na vilaza wangu 300 afu niwafanyie huo upvmbavu unaousema afu warudi hapa JF kunitukana.

Nilivyo mjinga wa akili nipoteze $3000 kwa mwezi ya Office tena kwa miezi 6, nipoteze pesa zng za kuset up office furnishing, partitioning nk, nichome gharama za kuwaleta mentors, nichome muda wng kwa kitu ambacho sina uhakika nacho, basi mimi nitakua mmoja ya watu wapvmbavu zaidi kuwahu kuishi duniani.

Naomba unichukulie utavyonichukulia, utasema maneno mengi kwakua hujui unaejaribu kupambana nae. Hujui what I'm good at and what I'm weak at, in life sijawahi kufanya kitu then nikaQuit katikati. Kuna watu wana iron hearts, roho za chuma - no matter what hawarudi nyuma. Kuna watu ni kama nguruwe, utamchafua kadri utakavyo kumbe anaenjoy the play.

I need quality students, I don't need numbers. Hata nikianza na watu 20, nikawasaidia kuturn $300 kuwa $2000 ndani ya mwezi wananitosha sana kueneza habari zangu. Hadi nafikisha miaka mi2 nitakua nimefikia at least my short time goal.

Let me show you how I will prove you the other way round - sitajibu tena utvmbo ambao mtu hajawahi kutrade anaongea, mtu hajui hata maana ya pip anajifanya anaichambua forex, mtu hata maana ya bull hajui lkn anaeneza maneno ya kukatisha watu tamaa. Nasema hivii, nitasambaza signals kwa wanafunzi wangu hadi mtakoma. [emoji23]
 
nashukuru...nlikuwa natumia laptop inagoma..hivyo lazima uwe na app yenyewe?..asante umenisaidia..wacha nijaribu tena
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom