Complex
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 4,119
- 4,779
Dah mimi hapa nabaki msomaji tu. Kwanza nahisi hii biashara inataka mtu smart zaidi kichwani. Japo watanzania wengi huwa tunakuwa wakurupukaji sana huku tukifikiria kupiga hela tu bila kupenda tujifunze kwanza kitu na kukielewa vyema. kesho tunaanza kulia. Sijui niko sahihi?
Aisee hii kitu si mchezo. Watu wanaongea kiwepesiwepesi tuu na wanaona ni kitu easy tokana na mdau ontario alivyozungumza na kusimulia. Mind you, my friend kwa jinsi nilivyoanza kusoma hicho kitabu alichorecomend ontario, Kama wewe ulikuwa ni wa kudesa material na kuingia na vibomu katika pepa, bora ujiweke kando na hii biashara. Hii ni biashara kwa wale walio smart na walio tayari kudedicate muda wa kutosha katika hii kitu pamoja na kujifunza vitu vipya.
Ndugu zanguni, yakuhitaji kufunga mkanda haswa katika hili ili kutoboa.