Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Shukrani mkuu

Nikikwama nitakutafuta
 
Mpka sasa sijajua unaanzaje yani wakuu Najua nawasumbua ila nisaidieni
 
Mkuu ngoja nisomesome ntakutafuta
 
Nianze na Mimi, tangia June 2017 nimepigwa 280,000 hivi. Nyingi kati ya hizo ni kwa kudhulumiwa tu na si kukosea na evidence zipo

Hao jamaa ni wezi
Mkuu acha upotoshaji hapa! Hii ni biashara halali na siyo tatu mzuka hadi uibiwe

Kama pesa imeliwa basi ni kutofuata proper risk management na siyo unavyosema

Hii ni elimu kabisa tena kubwa na ingefaa watu wa NBAA waiongeze kwenye course yao ya CPA(T)
 
Mkuu....mrejesho vp Leo ni tar 19nov
 
wakuu naomba msaada njia nzuri ya kudeposit pesa na kudraw kwa brokers,namaanisha broker wa forex/binary and stock trading..je ni lazima uwe na account ya dollar au unafanyaje.?kuna comments nliiona umu hadi kwa M-pesa eti unaweza kudraw..mwenye uelewa na hivi vitu naomba msaada wenu jamani.
 
Inategemeana na broker unayetumia, wengi wanatumia e wallet kama skrill ( Online payments & Money transfer ) au neteller ( https://www.neteller.com/en/ ), au bank wire transfer, lakini broker huyu ( http://bit.ly/2hrv3Yo ) unaweza kudeposit direct kutoka bank, au kwa M Pesa uliyoisema.

Mabroker wengine bado cjajua kama wana Mpesa.
 
Ahsante mkuu Ila shida yang ni kwamba mfano skrill hawaitaji uwe umefungua account ya dollar ili kufanya transfer au account ya tshs unawezaje ukatuma kwao.?
 
Mi natumia Skrill kwa transaction nyengine zisizohusu Forex ushuhuda wangu tu ni wapo fasta hawana longolongo hata charges zao zipi chini
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…