Unadeposit katika Tsh, na unadraw katika Tsh... Anaconvert mwenyewe... Na conversion rate yake ni $1 = 2239TZS, unapodeposit. Ila unapotoa, $1 huwa hadi 3120Tsh, kwa sbb ya conversion ya Ksh kwanza, then Tsh. (unapowithdraw, pesa inaingia kwa namba ya Kenya)Mkuu AMLIGHT huyo broker wa kutumia M Pesa kudeposit na kudraw ni katika dollars au tshs mkuu.
Mkuu acha upotoshaji hapa! Hii ni biashara halali na siyo tatu mzuka hadi uibiwe
Kama pesa imeliwa basi ni kutofuata proper risk management na siyo unavyosema
Hii ni elimu kabisa tena kubwa na ingefaa watu wa NBAA waiongeze kwenye course yao ya CPA(T)
Si kiasi hiki mkuu......... Nakufahamu kote hukoIpo kwenye international finance.
Si kiasi hiki mkuu......... Nakufahamu kote huko
Biashara ya kamariBetting ni kamari sio biashara.
Ni vema umesema mwenyewe kwamba upo addicted lakini ungetumia muda wako kijifunza Forex ingekuwa vema zaidi Mkuu
Hii biashara inanizungusha mno ..naona km ma broker ndio wanafaidi hp... Maana naona all successful traders wanauza other supporting services/mentors.. Sijaona trader mdg successful anafanya trading peke yake...
Hongera kiongozi... Karibu mbwawa/zegereni na mbezi nauza viwanja mkuu... Ukipiga ..japo na sie tupatie faida ya forex huku... Huko vichwa tu mnapaweza bwana
Usikate tamaa boss, umejaribu kutrade? Umebahatika kuchoma akaunt ngapi?Hongera kiongozi... Karibu mbwawa/zegereni na mbezi nauza viwanja mkuu... Ukipiga ..japo na sie tupatie faida ya forex huku... Huko vichwa tu mnapaweza bwana
Nimepita huko mkuu, ila bado vyuma vinakaza.......Ukiwa humo ukapata mwanga, huku inakuwa rahisi zaidi.
Humu kuna vitabu kibao, je umevisoma? Na kuna kitu kinaitwa demo akaunti, (akaunt ya kufanyia mazoezi) je unayo?Siku ya kwanza nilipofungia uzi huu sikutaka hata kupoteza muda nikajua mambo yale yale ya living forever sasa nimepata mwanga.
Sasa nawezaje kujiunga na hii biashara please naomba muongozo.
Mkuu i wish you wont give up, unaweza kujitegemea mwenyewe ukiamua, as i do... Hadi muda huu, niko hapa. Ni ndogo sana hyo, lakini ni karb 20,000/= ya tz, ambayo imeingia ndani ya chn ya 1hr. If you serious I can help youHii biashara inanizungusha mno ..naona km ma broker ndio wanafaidi hp... Maana naona all successful traders wanauza other supporting services/mentors.. Sijaona trader mdg successful anafanya trading peke yake...
Humu kuna vitabu kibao, je umevisoma? Na kuna kitu kinaitwa demo akaunti, (akaunt ya kufanyia mazoezi) je unayo?
Hii biashara inanizungusha mno ..naona km ma broker ndio wanafaidi hp... Maana naona all successful traders wanauza other supporting services/mentors.. Sijaona trader mdg successful anafanya trading peke yake...
Hii biashara inanizungusha mno ..naona km ma broker ndio wanafaidi hp... Maana naona all successful traders wanauza other supporting services/mentors.. Sijaona trader mdg successful anafanya trading peke yake...
Nimepita huko mkuu, ila bado vyuma vinakaza.......
Ile elimu ni tofauti na hii ya support and resistance, fibonachi, doji etc
Acha kabisa mkuu. Haya hayapo NBAA ndiyo maana natamani kama wangeyaongeza
Mkuu sijasoma kitabu wala hiyo accaunti ya Demo sina naomba muongozo
Huna namna, kawa wataka kuwa self reliant trader muongozo ni kusoma tu na kuchezea demo mpaka kieleweke... La sivyo utaingia na kuamua kuacha tu kwa hasara unazopataMkuu sijasoma kitabu wala hiyo accaunti ya Demo sina naomba muongozo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] amebahatikaUsikate tamaa boss, umejaribu kutrade? Umebahatika kuchoma akaunt ngapi?