AMLIGHT
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 1,140
- 843
Unadeposit katika Tsh, na unadraw katika Tsh... Anaconvert mwenyewe... Na conversion rate yake ni $1 = 2239TZS, unapodeposit. Ila unapotoa, $1 huwa hadi 3120Tsh, kwa sbb ya conversion ya Ksh kwanza, then Tsh. (unapowithdraw, pesa inaingia kwa namba ya Kenya)Mkuu AMLIGHT huyo broker wa kutumia M Pesa kudeposit na kudraw ni katika dollars au tshs mkuu.