There is free breakfast!Ameshasema kuwa ataanza hao 300 for free ili waanze kutrade then ame aim commission on future kwan hao 300 watawaambia wenzao na ame aim kuwaelimisha vijana wengi on financial independenceKwanza nikupongeze kwa upambanaji wako na kuonyesha njia. Cha pili nataka kujua what is it in for you? Is it real free or there is a catch somewhere? May be in commission once they start trading or in providing access to mentor-ship. Nimeuliza tu kujua motive of why choosing to train 300 individuals for free. Nachofahamu there is no free lunch.
Mkuu wewe inaonyesha ulisoma tu kichwa cha habari ukakimbilia kukomenti [emoji23]Nifanyeje au niwe na sh ngapi kuanza forex business
Hicho hicho mkuu!! Uko sahihi!! Hakikisha kina page zaidi ya 300 maana viko viwili! Kama hakina pitia uzi namba 441 na 663 utapata kingine kilicho full!View attachment 515380 nihiki au nimebugi???
Kabla hujawaza cash au mtaji jiulize una maarifa ya forex?? Kama huna achana na mawazo ya mtaji! Ungana nasi kwenye kusoma vitabu vipo humu tayari!!Nifanyeje au niwe na sh ngapi kuanza forex business
Unaweza nipatia link au jina lao mkuu?Nilijiunga na forex moja uk nikawanapewa elimu na ninaambiwa leo nini kipo sokoni nikaona nitaibiwa nikapotezea na kwakuwa sikuwa na ufahamu wa biashara
Duuuuh mkuu mbona unamdanganya?? 2000usd? Sikulaumu wewe namlaumu yeye maana wenda kweli hakusoma uzi kwa undani!Mkuu wewe inaonyesha ulisoma tu kichwa cha habari ukakimbilia kukomenti [emoji23]
Mbona mada imeeleza stages zitakavyokuwa?
Sasa hivi jichange kwenye kibubu chako walau uwe na $2000 ya kuanzia.
Pia usijali sana hivyo vijisenti vikipukutika.
Endelea kubukua. You have a very long way to go kama umeshindwa hata kusoma kilichoandikwa.
Yea nimemjibu kimzaha kiasi.Duuuuh mkuu mbona unamdanganya?? 2000usd? Sikulaumu wewe namlaumu yeye maana wenda kweli hakusoma uzi kwa undani!
Sawa ndo nilichotaka kujua.."No free lunch" is an idiom meaning there is no something for nothing 😀😀There is free breakfast!Ameshasema kuwa ataanza hao 300 for free ili waanze kutrade then ame aim commission on future kwan hao 300 watawaambia wenzao na ame aim kuwaelimisha vijana wengi on financial independence
Mkuu umeandika $2,000 kwa makusudi au ni bahati mbaya tu? Maana tangu mwanzo umekuwa pesimistic na hapa naona unaendeleza uroho wako wa korosho kwa kuwazibia wenzio njiaMkuu wewe inaonyesha ulisoma tu kichwa cha habari ukakimbilia kukomenti [emoji23]
Mbona mada imeeleza stages zitakavyokuwa?
Sasa hivi jichange kwenye kibubu chako walau uwe na $2000 ya kuanzia.
Pia usijali sana hivyo vijisenti vikipukutika.
Endelea kubukua. You have a very long way to go kama umeshindwa hata kusoma kilichoandikwa.
Ontario amechokoza hiki kitu muhimu lakini anatakiwa awe tayari kujibu maswali mengi, mfano nimeona ukitaka kujiunga na demo account ikiwa uko Tanzania inagoma sababu haipo kwenye listi yao, hivyo anatakiwa atoe maelezo namna ya kufungua demo ac pia, so naunga mkono groupNaunga mkono hiyo point group litakua zuri kuelimishana zaidi
Kweli kabisa jirani, pia hataweza mjibu mmoja moja bora kwa groupOntario amechokoza hiki kitu muhimu lakini anatakiwa awe tayari kujibu maswali mengi, mfano nimeona ukitaka kujiunga na demo account ikiwa uko Tanzania inagoma sababu haipo kwenye listi yao, hivyo anatakiwa atoe maelezo namna ya kufungua demo ac pia, so naunga mkono group
Mawazo yako tu mkuuMkuu umeandika $2,000 kwa makusudi au ni bahati mbaya tu? Maana tangu mwanzo umekuwa pesimistic na hapa naona unaendeleza uroho wako wa korosho kwa kuwazibia wenzio njia