Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Kwanza nikupongeze kwa upambanaji wako na kuonyesha njia. Cha pili nataka kujua what is it in for you? Is it real free or there is a catch somewhere? May be in commission once they start trading or in providing access to mentor-ship. Nimeuliza tu kujua motive of why choosing to train 300 individuals for free. Nachofahamu there is no free lunch.
There is free breakfast!Ameshasema kuwa ataanza hao 300 for free ili waanze kutrade then ame aim commission on future kwan hao 300 watawaambia wenzao na ame aim kuwaelimisha vijana wengi on financial independence
 
Nilijiunga na forex moja uk nikawanapewa elimu na ninaambiwa leo nini kipo sokoni nikaona nitaibiwa nikapotezea na kwakuwa sikuwa na ufahamu wa biashara
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Nifanyeje au niwe na sh ngapi kuanza forex business
Mkuu wewe inaonyesha ulisoma tu kichwa cha habari ukakimbilia kukomenti [emoji23]

Mbona mada imeeleza stages zitakavyokuwa?

Sasa hivi jichange kwenye kibubu chako walau uwe na $2000 ya kuanzia.

Pia usijali sana hivyo vijisenti vikipukutika.

Endelea kubukua. You have a very long way to go kama umeshindwa hata kusoma kilichoandikwa.
 
Duuuuh mkuu mbona unamdanganya?? 2000usd? Sikulaumu wewe namlaumu yeye maana wenda kweli hakusoma uzi kwa undani!
 
Yea nimemjibu kimzaha kiasi.

Unaweza kuanza na kiasi chini ya hapo.

Lakini ufahamu unaweza poteza hata zaidi ya $2000 kwasababu new traders hashindi in a consistent manner. Kupoteza ni likely

Sijui kama unanielewa
 
There is free breakfast!Ameshasema kuwa ataanza hao 300 for free ili waanze kutrade then ame aim commission on future kwan hao 300 watawaambia wenzao na ame aim kuwaelimisha vijana wengi on financial independence
Sawa ndo nilichotaka kujua.."No free lunch" is an idiom meaning there is no something for nothing 😀😀
 
Fursa Hii Ni Adimu Sana Nitajitahidi Niwepo Ili Nipate Ufafanuzi Zaidi
 
Mkuu wewe inaonyesha ulisoma tu kichwa cha habari ukakimbilia kukomenti [emoji23]

Mbona mada imeeleza stages zitakavyokuwa?

Sasa hivi jichange kwenye kibubu chako walau uwe na $2000 ya kuanzia.

Pia usijali sana hivyo vijisenti vikipukutika.

Endelea kubukua. You have a very long way to go kama umeshindwa hata kusoma kilichoandikwa.
Mkuu umeandika $2,000 kwa makusudi au ni bahati mbaya tu? Maana tangu mwanzo umekuwa pesimistic na hapa naona unaendeleza uroho wako wa korosho kwa kuwazibia wenzio njia
 
Naunga mkono hiyo point group litakua zuri kuelimishana zaidi
Ontario amechokoza hiki kitu muhimu lakini anatakiwa awe tayari kujibu maswali mengi, mfano nimeona ukitaka kujiunga na demo account ikiwa uko Tanzania inagoma sababu haipo kwenye listi yao, hivyo anatakiwa atoe maelezo namna ya kufungua demo ac pia, so naunga mkono group
 
Nimekisoma kitabu chapter moja tu na kupitia videos utube nk, nikagundua kuwa hii kitu haihitaji mihemko aisee!! It needs time,alot of time to learn na uwe smart.
Msikurupuke jamani, jipeni muda wa kutosha kuielewa hii kitu.
Good news ni kuwa inawezekana ukiwa na nia ya dhati.
 
Ontario amechokoza hiki kitu muhimu lakini anatakiwa awe tayari kujibu maswali mengi, mfano nimeona ukitaka kujiunga na demo account ikiwa uko Tanzania inagoma sababu haipo kwenye listi yao, hivyo anatakiwa atoe maelezo namna ya kufungua demo ac pia, so naunga mkono group
Kweli kabisa jirani, pia hataweza mjibu mmoja moja bora kwa group
 
Mkuu umeandika $2,000 kwa makusudi au ni bahati mbaya tu? Maana tangu mwanzo umekuwa pesimistic na hapa naona unaendeleza uroho wako wa korosho kwa kuwazibia wenzio njia
Mawazo yako tu mkuu

Sina sababu kumzibia yeyote nafasi

Kwani ukiamua mimi nitaweza vipi kukuzuia?

Wewe hupendi mawazo mbadala?

Kumbuka comment yangu ilibeba utani kama yeye alivyoshindwa kusoma makala yote na kung'amua nini kinafuata
 
Nothing to say mpaka hapa, nimepitia mawazo na michango yote...maana nilijisemea nitunze akiba ya maneno kabla ya kuingia hapa...nw am all in.....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom