Je umemfanyia utafiti wa kutosha huyu broker?
Ukiweka negativity, lazma yakukute...Bosi, katika vitu ambavyo najiamini navyo ni kuwa Mimi ni msomaji mzuri. Sina uvivu katika hilo. Na sisomi kama hadithi.
Tuwe wa kweli hapa. Tusije potezana.
Kuna wenzetu hapa hawana access na mambo mengi sana na bwana Ontario alivyoleta story za kupika pesa inawezekana kuna wadau walichukulia kirahisi hii 'game'
Nna uhakika wengine wameanza kucheza. Lakini it is not too late. Tushtuane. Tujuzane yaliyo ya msingi kabisa katika hii biashara
Kwamfano kuna Forex brokers nyingi mno zinamea kila kukicha ambazo ni scam. Ukifanya nao hii business lazima uliwe haijalishi hata kama ulikuwa upate.
Hawana aibu, unaliwa tu. Na nyingi huna pa kushtaki. Brokers kama wa sijui Belize, etc.
Duh, mi kuona hyo $123 ndb nkashare tu link!Je umemfanyia utafiti wa kutosha huyu broker?
Huyo JP Marker hafai kabisa mkuuUkiweka negativity, lazma yakukute...
We unaona wenzio wote wanatrade na jpmarkets, kwa mfano, hafu wewe unaenda kwa Fxpro, kwa mfano, unakuwa unataka nini?
Do your research before choosing your broker!
We bila shaka ni mchawi first gradeWatanzania shirikisheni bongo lasivyo mtaibiwa sana. Wanaigeria wamemaliza dunia kwa wizi na sasa wanatoa mafunzo kwa vitabu kupitia kwa wafuasi wao kote africa. Chungeni sana visenti vyenu. Forex haina tofauti na kamari inaenda kwa exchange rate ya dola waachieni hao wenye pesa za kuchezea kamari nyie wenye pesa za kusotea kaeni pembeni mwangalie mchezo unavyo kwenda.
Nani kakuambia kama hafai au umeoteaHuyo JP Marker hafai kabisa mkuu
Vipi huyu broker ni mzuri kweli ? Naomba maelezo ndugu
Telegram books channel:Mwaka mpya,2018 nataka wekeza humo. Sasa hv natafuta dondoo za kunijengea uwezo
Mlinganishe na Pepperstone au Tickmill, ubishi saa nyingine haufai mkuuNani kakuambia kama hafai au umeotea
Katika spread jp yupo juu kidogo ila katika kufunga na kufungua position ni min second sasa hao wengine unaweza kuta wanatake second nzimaMlinganishe na Pepperstone au Tickmill, ubishi saa nyingine haufai mkuu
Vipi huyu broker ni mzuri kweli ? Naomba maelezo ndugu
nlisema:
KWA MFANO[emoji5]
Siyo kweli, Peppeestone and Tickmill also have instant executions, JP Market nilimuacha kwa sababu ya Spread na kuchelewesha TP/SLKatika spread jp yupo juu kidogo ila katika kufunga na kufungua position ni min second sasa hao wengine unaweza kuta wanatake second nzima
Mtu anaposea kitu hakifai, inategemeana na angle of perception yake.Katika spread jp yupo juu kidogo ila katika kufunga na kufungua position ni min second sasa hao wengine unaweza kuta wanatake second nzima
Kweli kaka, vipi kuhusu easymarket ?Mkuu Unamfahamu Templer FX such a Broker Mm nampenda Kwa Reason Moja Tu naweza Kudeposit na Kuwithdraw Pesa M-PESA na ndani ya Lisaa Limoja Inakuwa Imeshaingia.
Cna uhakika boss, mana mkuu flani huko amemtilia mashaka, ila mimi namtumia zaidi templerfxVipi huyu broker ni mzuri kweli ? Naomba maelezo ndugu
Kweli kaka, vipi kuhusu easymarket ?
Sawa kakaCna uhakika boss, mana mkuu flani huko amemtilia mashaka, ila mimi namtumia zaidi templerfx
Templer FX Trader