Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Bosi, katika vitu ambavyo najiamini navyo ni kuwa Mimi ni msomaji mzuri. Sina uvivu katika hilo. Na sisomi kama hadithi.

Tuwe wa kweli hapa. Tusije potezana.

Kuna wenzetu hapa hawana access na mambo mengi sana na bwana Ontario alivyoleta story za kupika pesa inawezekana kuna wadau walichukulia kirahisi hii 'game'

Nna uhakika wengine wameanza kucheza. Lakini it is not too late. Tushtuane. Tujuzane yaliyo ya msingi kabisa katika hii biashara

Kwamfano kuna Forex brokers nyingi mno zinamea kila kukicha ambazo ni scam. Ukifanya nao hii business lazima uliwe haijalishi hata kama ulikuwa upate.

Hawana aibu, unaliwa tu. Na nyingi huna pa kushtaki. Brokers kama wa sijui Belize, etc.
Ukiweka negativity, lazma yakukute...

We unaona wenzio wote wanatrade na jpmarkets, kwa mfano, hafu wewe unaenda kwa Fxpro, kwa mfano, unakuwa unataka nini?

Do your research before choosing your broker!
 
Huyo JP Marker hafai kabisa mkuu
 
Watanzania shirikisheni bongo lasivyo mtaibiwa sana. Wanaigeria wamemaliza dunia kwa wizi na sasa wanatoa mafunzo kwa vitabu kupitia kwa wafuasi wao kote africa. Chungeni sana visenti vyenu. Forex haina tofauti na kamari inaenda kwa exchange rate ya dola waachieni hao wenye pesa za kuchezea kamari nyie wenye pesa za kusotea kaeni pembeni mwangalie mchezo unavyo kwenda.
We bila shaka ni mchawi first grade
 
Mlinganishe na Pepperstone au Tickmill, ubishi saa nyingine haufai mkuu
Katika spread jp yupo juu kidogo ila katika kufunga na kufungua position ni min second sasa hao wengine unaweza kuta wanatake second nzima
 
Katika spread jp yupo juu kidogo ila katika kufunga na kufungua position ni min second sasa hao wengine unaweza kuta wanatake second nzima
Siyo kweli, Peppeestone and Tickmill also have instant executions, JP Market nilimuacha kwa sababu ya Spread na kuchelewesha TP/SL

Kwa Hiyo namfahamu JP market siyo kwamba nazungumza tu mkuu
 
Katika spread jp yupo juu kidogo ila katika kufunga na kufungua position ni min second sasa hao wengine unaweza kuta wanatake second nzima
Mtu anaposea kitu hakifai, inategemeana na angle of perception yake.

Naweza sema IST haifai bora ya VX.

Wewe unayetazama fuel consumption utaona nimepotea, kumbe mimi natazama idadi ya watu ntakaobeba, na uhakika wa safari ya masafa marefu.

Jamaa huenda katazama spread, mana yeye trading zake zote anatumia strategy ya pending orders, wewe unatazama fast execution time, huenda unatrade news zaidi!

So it all goes back to the perception ya mtu, na anataka nini hasa kwa broker amemchagua.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom