Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Mkuu huyu Broker EasyMarket Sijawahi Kumtumia mm Nampenda Templer FX kwa sababu ya option ya M-PESA na Broker Mwingine Anayeitwa JAFX huyu Ananiwezesha Kutrade Cryptos Zote Kupitia MT4 kaka.
Kuna video nliona you tube ya JAFX nkajarb kucheck web yao kdg, nadhan inabd niwacheck zaid... Spread yao ya BTCUSD kwa sasa ni ngapi?
 
Mkuu huyu Broker EasyMarket Sijawahi Kumtumia mm Nampenda Templer FX kwa sababu ya option ya M-PESA na Broker Mwingine Anayeitwa JAFX huyu Ananiwezesha Kutrade Cryptos Zote Kupitia MT4 kaka.
Ahsante sana kaka ,maana nimejaribu kuwafatilia hawa easymarket nimeona wana low risk ,anyway ngoja niwafatilie na hawa templefx nione
 
Siyo kweli, Peppeestone and Tickmill also have instant executions, JP Market nilimuacha kwa sababu ya Spread na kuchelewesha TP/SL

Kwa Hiyo namfahamu JP market siyo kwamba nazungumza tu mkuu

Kati ya pepperstone na tickmill yupi ni mzuri zaidi?
 
Hao Templer sijui nini hawana maana, Templerfx kuunguza account njenje
Nlichogundua, templer ni rahc kuunguza akaunt kwa sbb ya bonus yao.

Wakikupa bonus unakuwa na equity kubwa, lakini balance ndogo, so unajiamini na kufungua positions kibao.

Kinachofuata hapo, ni siri yako...[emoji3]
 
Hata bila bonus hatari ipo palepale Mkuu, sijui wanafanya usanii gani
 
Broker mwenye maximum Leverage ya 1:1000 ni wa kuwa makini nae sana asee
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…