Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Ukiweka negativity, lazma yakukute...

We unaona wenzio wote wanatrade na jpmarkets, kwa mfano, hafu wewe unaenda kwa Fxpro, kwa mfano, unakuwa unataka nini?

Do your research before choosing your broker!

Unaweza kukuta hata oanda ndo hivyo hivyo.

Tufanye hiyo business. Kila mtu ni mtu nzima. Akiona anazidi kutop up kila kukicha ataamua mwenyewe.

Cha muhimu humu watu wasipoteze wasichoweza mudu kupoteza

Kama 95% ya watu wanapoteza Basi hii sio biashara kama biashara ya kuuza Duka la nguo au biashara ya kuuza Samaki au biashara ya kufungua Duka la Forex pale kariakoo
 
nlisema:

KWA MFANO[emoji5]

Ukitaka kujua ni ubabaidhaji mtupu hebu sasa angalia hata mifano unayotoa. Una haja gani ya kutolea mfano wa broker wa ovyo?

Kwanin usitolee mfano wa really good broker outa there? Hebu tutajie

Lots of fake brokers. Mpaka mifano ya genuine brokers unalazimika kutoa ya feki brokers
 

Forexpeacearmy.com - fpa inaweza saidia kujua feki Brokers. Kwa kusoma kesi na responses
 
Boss, huo haukuwa mfano wa uliyoongea wewe, huo ulikuwa mfano kingine tofauti
 
Leo nimeanza kusoma baadhi ya vitabu vilivyowekwa hapa na members, nataka nisome vitabu 3, naanza na "17 Proven Currency Trading Strategies by Mario Sigh" pamoja na vingine 2, kufikia mwishoni mwa Januari nitakua nimevimaliza, then wiki 2 za mwezi February nitajifunza kupitia videos za YouTube, then nitatafuta mentor wa kunisaidia hapahapa Jf naamini watanisaidia, wiki ya 3 ya mwezi wa pili nitaanza na free account, nitarudi hapa nikimaliza kusoma vitabu, mirejesho yote nitaiweka hapa, Nataka nijue Uhalisia na Ukweli na pia Ninufaike nayo. See you
 
Boss, huo haukuwa mfano wa uliyoongea wewe, huo ulikuwa mfano kingine tofauti
Kila kukicha kubishana bishana! Kwanini amufanyi biashara zenu bila ubishano? Mara sijui umeongea hivi, mara vile, mara mfano tofauti! What the hell is wrong with you people? Don't you have better things to do or argue about?
 
Kama kuna mambo siwezi kuyaelewa hi hivi vitu, navisoma ila havieleweki. Kama kuna mtu anavijua in and out anieleweshe kwa whatsap.0782183441. Natamani sana kujiunga ila mpaka nielewe vizuri
 
Kama kuna mambo siwezi kuyaelewa hi hivi vitu, navisoma ila havieleweki. Kama kuna mtu anavijua in and out anieleweshe kwa whatsap.0782183441. Natamani sana kujiunga ila mpaka nielewe vizuri
Uko mkoa gani?
 

Naweza pata Link mkuu nikasoma na mimi
 
Sawa mkuu nimekuelewa umenifundisha na kunifamasisha vya kutosha lakini mimi kama mimi nataka kujiunga na hiki nilichojifunza ila sijui naanza vipi sijui nifanyeje ili niweze kuwa member wa hiyo dili na pia sijafaham kama kuna kiwango cha chini kabisa cha fedha za kujiunga in kipi naomba ufafanuz tena mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…