Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Ingia group la telegram @forextraderstz ujifunze forex na wadau walioanza hii biz miezi 6 iliyopita.
 
Ingia group la telegram @forextraderstz ujifunze forex na wadau walioanza hii biz miezi 6 iliyopita.
Cha kufanya download telegram,then search forextraderstz utalipata group,humo kuna list ya vitabu plus materials zote khs forex unazotakiwa kuzijua.
 
ANZA NA MTAJI WA BURE WA $30 [NO DEPOSIT BONUS] YA TEMPLER.

[TERMS AND CONDITIONS LINKED]

Huenda ushatumia demo lakini uko na tatizo la mtaji... Au wengine, kama mimi, tumeunguza akaunti, jinsi ya kuanza tena ni ngumu, hasa linapokuja suala la mtaji....

Ikumbukwe kwamba, Templer pia atakupa uwezo wa kufund na kuwithdraw pesa zako kupitia Mpesa, kama utachagua kuendelea kumtumia, hata baada ya kupoteza hyo $30.

(Don't Worry, Hautodaiwa kama ukiiunguza)

ANGALIZO:
Bonus hii ni kwa wateja wapya tu, kama ulishakuwa na akaunti ya Templer na ukaiwekea pesa, hautoweza kuipata, labda ufungue akaunt tofauti.


HATUA ZA KUFUATA:
1. Fungua akaunti mpya hapa:

Templer FX | Start with $30 No deposit Bonus

2. Verify email, namba ya simu (ni bora iwe voda, kwa ajili ya kutoa faida na kuendesha akaunti) na utambulisho wako.
Menu > MyTemplerFX> Verifications

3. Nenda MENU > OPEN ACCOUNT > chagua LIVE UNIVERSALFX > ok

4. Nenda Menu > Bonus > chagua akaunti yako ya universalFX, WEKA REDEEM CODE:

NDB30JN42017

Then submit.

5. Utapokea $30 katika akaunti uliyoifungua, mara nyingi within an hour.

6. Kama huna MT4 for Android ,download hapa:

MetaTrader 4 – Applications for Android - Google Play

Start Trading!!
TRADE SAFELY!


Ukihitaji msaada wowote kuhusu kuipata hii bonus, nicheck inbox



Terms And Conditions hapa:

TemplerFX No Deposit Bonus Agreements
 
Wakuu salaam.

Naona kumekuwa na nyuzi nyingi sana zinazohusu FOREX. Nimeona nianzishe uzi huu uwe maalum kwa ajili ya traders only ili tuweze ku share knowledge mbalimbali kuhusu trading.

Najua watu wana trading experience tofauti, kuna sclapers, day traders na swingers. Je kwanini ulichagua kuwa either of them? Ni strategy gani unaona inafaa kwa aina ya trader? Katika tf gani?

Ningependa tuelimishane kuhusu different strategies ili tuweze kuwin market. Pia kubadilishana bad and good experience katika trading ili tusiweze kurudia makosa hayo hayo.

Pia tujaribu kushare all useful websites na books.

Karibuni....
 
Kuna quote moja hua mnaisema sana "Forex is not for everyone"

Hiyo ni kweli maana dah huu mchongo haunishtui kabisa
 
Sii mtaalam saaan bt nimemenej akaunt ya ambao ni wagumu wa mioyo tumebishana hapa home sasa nalipwa Wamesema haitofika hamsini wameweka dau laki mbili naichukua kilainii
 
watu tunaishi kwa cross over si mpaka tuwe watumwa wa watu kwa mishaara ambayo unaweza upata ndani ya dakika au kuupoteza ndani ya dakika
 
Sii mtaalam saaan bt nimemenej akaunt ya ambao ni wagumu wa mioyo tumebishana hapa home sasa nalipwa Wamesema haitofika hamsini wameweka dau laki mbili naichukua kilainiiView attachment 673247

Mkuu unatisha.
Af kwa 9 USD unaweza kutembea na 0.03 lot kwa leverage ya ngapi mkuu
Vipi strategy au ndio holy grail [emoji3]

Tupeane uzoefu coz kama umeweza kupandisha hiyo what will happen if you have 1000 USD Balance
 
Natafuta mtaalamu anielekeze kuhusu forex nimesoma na kuangalia video youtube ila nahitaji sana msaada wa anayejua zaidi
 
Forex traders tutumie huu Uzi pia kushare analysis na,strategies ni vizuri tusijiingize kwenye marumbano na yoyote atakae jaribu kuprovoke ni vizuri kumuacha na kuheshimu mtazamo wake ili lengo la uzi usiharibiwe
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…