Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,399
- 8,629
Dah umejilipua haswa but good analysis ikiwa nzuri unapandisha tu tembo kwa kirikuu.Sii mtaalam saaan bt nimemenej akaunt ya ambao ni wagumu wa mioyo tumebishana hapa home sasa nalipwa Wamesema haitofika hamsini wameweka dau laki mbili naichukua kilainiiView attachment 673247
no si holly grail nilitrade kw SMA cross over + Rsi oversold + candlestic ilionyesha sirais revesal to buyer kushika gari + kwajina la yesu ndo nikafungua lots izo + money afford to looseMkuu unatisha.
Af kwa 9 USD unaweza kutembea na 0.03 lot kwa leverage ya ngapi mkuu
Vipi strategy au ndio holy grail [emoji3]
Tupeane uzoefu coz kama umeweza kupandisha hiyo what will happen if you have 1000 USD Balance
Forex traders tutumie huu Uzi pia kushare analysis na,strategies ni vizuri tusijiingize kwenye marumbano na yoyote atakae jaribu kuprovoke ni vizuri kumuacha na kuheshimu mtazamo wake ili lengo la uzi usiharibiwe
Naskia hiyo mk45 iko vzr zaid kuliko holygrailkati ya holygrail na mk45 ipi iko profitable zaid....??
Nkichek balance 9$ af nkichek lot ulotumia hakika Mungu alikua na ww mana ingeyumba tu kidogo ukikua unakusanya majivu yakoSii mtaalam saaan bt nimemenej akaunt ya ambao ni wagumu wa mioyo tumebishana hapa home sasa nalipwa Wamesema haitofika hamsini wameweka dau laki mbili naichukua kilainiiView attachment 673247
kati ya holygrail na mk45 ipi iko profitable zaid....??
Natumia Templar fxNkichek balance 9$ af nkichek lot ulotumia hakika Mungu alikua na ww mana ingeyumba tu kidogo ukikua unakusanya majivu yako
By the way ni broker gani unatumia kama hutojali lkn mkuu
We jamaa unaonyesha ni swinger wa hatari!! Salute mkuu...from nine View attachment 673989
Mkuu hii ni mini au standard ?hiyooo inapasua mawingu View attachment 674158