Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Wengi wanataka ila wengi hawajapita hata kujua maana ya neno forex
 

Mambo kama haya lazima yajitokeze mkuu.. Hata usikate tamaa.

Ndio maana nilikwambia, utaanza na wanafunzi 500 ila ni watano tu watafika mwisho.

Baada ya training ya kwanza watapotea zaidi ya nusu.
 
What is lot size?
mkuu ama ulimaanishaje?..maana sentensi yako ni kama inauliza ni nini maana ya lot size..kwa uelewa wangu lot size ni kiwango unachokusudia kununua kwa safari moja
 
Jamaa kaandika mwenyewe kwanza kabla hajaanza amesoma vitabu saba bila kufanya kitu tena akiwa ndani ya mentorship nzito! Hii ni sawa na semister moja ya chuo kikuu tena si tu kumeza madesa ila unasoma vitabu na kuelewa kila kitu vizuri

There you are.

Hapa ndo Ontario atapukutisha watu. Kusoma na kujifunza kila siku.

Ndio maana nimemtahadharisha, asiuze signals. Atawafanya watu wasisumbuke kujifunza zaidi..
 
Hakuna lot size ya aina hii. Labda ulikuwa unamaanisha equity?
kaka hebu nieleze nielewe...hii lot size si ndio kiwango cha fedha unazokadiria kununua kwa safari moja ama ina maana nyingine?
 

Kusoma vitabu lazima iwe hobby yako (vitakusaidia kwenye technical analysis), bila kusahau kufuatilia kila kinachoendelea duniani kila siku, kila saa (Hizi news zitakusaidia kwenye fundamental analysis).
 
Kwer itatuhitaji muda sana kuwa kamili....vitabu ni vingi, hivi ni baadhi nlivyoweza kuvipata.

I hope viko sahihi....na sio matango pori.

Adios,
 

Attachments


Upo sahihi kabisa.

Nikupe siri moja, jikaze mwezi mzima (tuseme June) unasoma vitabu ili upate ABCs.

July ufanye mwezi wa kusoma strategies mbalimbali.

August, ufanye mwezi wa kuitumia demo yako kutest hizo strategies zako ulizoweka.

September, anza na 100USD kufanya live trading. Mpaka hapo utakuwa better off.

Kama hujiamini anza October na live trading.

Fanya kwa moyo mmoja..
 
kaka hebu nieleze nielewe...hii lot size si ndio kiwango cha fedha unazokadiria kununua kwa safari moja ama ina maana nyingine?


Lot size ni thamani ya trade yako kwa kila pip moja.

Micro lot 1 pip = 0.1 USD

Mini lot 1 pip = 1 USD

Standard lot 1 pip = 10 USD.

Kwahiyo kama unatrade kwa standard lot ya 10 ina maana kila pip inayoongezeka unakuwa unatengeneza 100 USD. Na ikienda agaist wewe unakuwa una loose 100 USD kwa kila pip.
 
Tuko pamoja mkuu, hebu tuufuatilie mchezo kimya kimya in the shadows, then batch ya pili ikifika tunaingia jumla.

Tutakua vipanga mkuu!
Asante kipanga mtarajiwa nshakua na mentality ya kidon saiv nmeacha kula balimi
Ni windhoek tu udangote unaninyemelea
 
Ndio maana tunasisitiza tusome kwa bidiina kuelewa mambo!
 
Shukrani mkuu, ngoja nipambane hadi kieleweke.
 
Naona kama umeamua kutuita wateja zako watarajiwa wapumbavu pasipo na sababu yeyote. Mimi nilitegemea jinsi ulivyo mwalimu na mwandishi mzuri ungetumia busara zaidi kutujibu, lakini you lost it kwa kuni refer mimi kama mpumbavu. Bora niwe mpumbavu sasa ili nieleweshwe kuliko kuwa mpumbavu to the end.

Anyway, hebu nieleze nitaweza register vipi kwenye www.forex.com nikiwa kama mtanzania? Hizo MasterCard zitakazotolewa zitakuwa za prepaid au hapana? Kama siyo za prepaid zitakuwa na limit ya kiasi gani? Baada ya kupata training nitaweza tumia platform zipi online na payment card ya namna gani? Je itanipasa kulipia chochote baada ya training?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…