Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Nice boss.
 
Trade the way you can.
Scalping in 15m TF.

(Ichimoku indicator Pivot Point and Moving Average )
 
Hey forex guys! Nimepata kitu fulani kwenye sakasaka yangu kwenye interent nikaona ni bora nika share na member wa forex! Hope this will add something new to your knowledge of forex!
Teh mi napakua tu...nina mavitabu kibao sijayasoma
 
Teh mi napakua tu...nina mavitabu kibao sijayasoma

Forex ni sawa na mtu anaefundishwa kuogelea

Akipewa vitabu vyooote vya mafunzo ya kuogelea asome hata miaka 3 aelewe na kumeza kila kitu lakini ukimchukua na kumweka katikati ya bahari lazima afe tu

Ingia huku unasoma(demo) au risk 100usd ujifunzie
 
Nimeshaanza kutrade mkuu ila ndo bado naona watu kama miti inakwenda
 
Jitie moyo usikate tamaa, tulianza hivyo hivyo
Asante mkuu. Naomba kuuliza swali ambalo kwako linaweza kuwa la kijinga na lina part A na B. Kuna tofauti yoyote kati ya mtu anaetumia lot size 0.01 anafungua trades tano na mtu atakayetumia 0.05 na akaweka moja? Nitauliza B yake nikipata jibu la hii
 
Lot ya 0.01 unaweza weka pair 3_5 tofauti tofauti, kuliko lot ya 0.05 kwa pair 1

Tunafanya kusambaza risk
 
Huu Uzi kila siku lazima niucheki ,Please kama kuna wadau wameanza kutrade naomba tujiane jamani bado sijawa mzoefu.

1.Humble African
 
Hello guys, the waiting is over.

Short info,

Training itaanza j3 tar 26feb hadi tar 2march(5days)

Tutawapatia huduma zifuatazo:
•INTRODUCTION TO FOREX
• TECHNICAL ANALYSIS
•FUNDAMENTAL ANALYSIS
•MENTORSHIP FOR LIFE
• LIFETIME SIGNALS etc.

Location: Melisha Training Center, Mwanakwerekwe, near PBZ Bank.

Training fee: Tsh 50,000 tu.( discount ya 100000, na hii ni special kwa watu wa mwanzo pekee.)

Contact : 0762272838
Fb&instagram @forex_deluxe_institute

Welcome.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…