Chuku chuku
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 873
- 1,360
Kwa kifupi jamaa anaeleweka,labda kama hujasoma wapi ameanzia kutolea ufafanuzi hili.Kila nikikuta comments zako zinaniacha na Kitu kichwani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kifupi jamaa anaeleweka,labda kama hujasoma wapi ameanzia kutolea ufafanuzi hili.Kila nikikuta comments zako zinaniacha na Kitu kichwani
Nice to hear that! Kwa hiyo mkuu na wewe huwa unanielewa sawa sawa au bado nakuvuruga ufahamu?Kwa kifupi jamaa anaeleweka,labda kama hujasoma wapi ameanzia kutolea ufafanuzi hili.
Ndio maana nimesema huwa kuna mambo napata kichwani nikipitia maandishi yakeKwa kifupi jamaa anaeleweka,labda kama hujasoma wapi ameanzia kutolea ufafanuzi hili.
Mkuu hilo jina lako tu linasadifu na post zako,kwanini nisikuelewe mkuu?Nice to hear that! Kwa hiyo mkuu na wewe huwa unanielewa sawa sawa au bado nakuvuruga ufahamu?
Sio wewe peke yako mkuu, hata mimi napata vitu vipya na vizuri!Kila nikikuta comments zako zinaniacha na Kitu kichwani
Nice boss.Wow! Nimefurahi kusikia hivi ingawaje unaonekana wewe ni open minded unaruhusu material mapya yaingie kichwani mwako tofauti na wale closed mind wanachokijua wao ndio hicho hicho hawataki Mawazo mapya hata kama yana ukweli ndani yake.
Hongera utafika mbali..ila wenye majina ya Daudi huwa tuna bahati sana ya kuwa open minded and charismatic hivyo mafanikio kwetu huwa ni guaranteed.
Teh mi napakua tu...nina mavitabu kibao sijayasomaHey forex guys! Nimepata kitu fulani kwenye sakasaka yangu kwenye interent nikaona ni bora nika share na member wa forex! Hope this will add something new to your knowledge of forex!
Teh mi napakua tu...nina mavitabu kibao sijayasoma
Nimeshaanza kutrade mkuu ila ndo bado naona watu kama miti inakwendaForex ni sawa na mtu anaefundishwa kuogelea
Akipewa vitabu vyooote vya mafunzo ya kuogelea asome hata miaka 3 aelewe na kumeza kila kitu lakini ukimchukua na kumweka katikati ya bahari lazima afe tu
Ingia huku unasoma(demo) au risk 100usd ujifunzie
Nimeshaanza kutrade mkuu ila ndo bado naona watu kama miti inakwenda
Asante mkuu. Naomba kuuliza swali ambalo kwako linaweza kuwa la kijinga na lina part A na B. Kuna tofauti yoyote kati ya mtu anaetumia lot size 0.01 anafungua trades tano na mtu atakayetumia 0.05 na akaweka moja? Nitauliza B yake nikipata jibu la hiiJitie moyo usikate tamaa, tulianza hivyo hivyo
Asante mkuu. Naomba kuuliza swali ambalo kwako linaweza kuwa la kijinga na lina part A na B. Kuna tofauti yoyote kati ya mtu anaetumia lot size 0.01 anafungua trades tano na mtu atakayetumia 0.05 na akaweka moja? Nitauliza B yake nikipata jibu la hii
Okey kwa hiyo kama unatrade pair moja tu kwa wakati huo ni kitu kilekile?Lot ya 0.01 unaweza weka pair 3_5 tofauti tofauti, kuliko lot ya 0.05 kwa pair 1
Tunafanya kusambaza risk
Okey kwa hiyo kama unatrade pair moja tu kwa wakati huo ni kitu kilekile?
Okey asanteNdio ni kitu kile kile