Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
asante mkuu..
 

Mkuu, yote si utayafahamu kwenye training?

Au muda unaoutumia kubishana hapa, ungeweza kuitumia google vizuri ufahamu unachotaka..
 
Hey luv,
Naona uko vizuri.
Itabidi unipe madini sasa[emoji2] [emoji2] na me nitengeneze pesaa.
 
Kumbe kujifunza Forex unataka halafu unajitia kujua kwa kueleza uwongo! Two ways you can learn bro:
1. Google + youtube. Kuna madesa chungu nzima...muda wako tu. Kikubwa utahitaji broker...wabongo tuliowengi tunawatumia www.XM.com lkn wapo mamia dunia nzima...just google utawaona.
2. Find a mentor (au chuo)...hii ni short cut, be it Ontario, Bavari, nk. Kwa Ontario kesha weka terms zake za buuuure so u just do as he said.

Tatizo wabongo mnapenda bure, hakuna kitu cha bure, na kwa ufupi ogopa bure. Ontario anataka kuorganise lessons za trading kitu ambacho weledi wengi wa hii tasnia wanafanya. Ukishakuwa guru una trade na kutrain...ndivyo wanafanya watu wote duniani. Sandile wa SA ana chuo chake...sasa sijui mnachoona cha ajabu ni nini hapo. Kama hutataka kulipia masoma endelea kulima tikiti period.
 
Hey luv,
Naona uko vizuri.
Itabidi unipe madini sasa[emoji2] [emoji2] na me nitengeneze pesaa.

Soma vitabu my dear..

Hii mambo haina short cuts..

Kuna list ya vitabu nimeiweka, anza na hivyo..

Na uhudhurie training ya Ontario akakupe mwanga, kama huna kabisa..

Nasisitiza, it's not as easy as you think.

It may take you 6 months of consistent reading and practicing.
 
kufanikiwa kuna njia nyingi, ngoja nijaribu njia ya pili hii kwa sasa, mmh!! labda baadae kidgo
 
Nini maana ya mshumaa au candlestick. Hebu soma mkuu acha pupa boss, kua tyr kujifunza.
mkuu kidogo najichanganya hapa hebu nisaidie kakangu..kuna hii term "spread"ambacho ni kiwango unachopata baada ya kusubtract the selling amount from the buying price of a particular currency pair..kwa mtazamo wangu,this is the profit you get..lakini katika materials zangu wanasema hiyo ndiyo pesa unafaa kutoa kwa wale brokers..kuna wengine wanatoza charges zingine apart from this...mkuu hebu nisaidie hapa..usichoke ndugu yangu
 
What is lot size?
Lot size is the units of major currencie supposed to be sold o bought.

Example USD/EUR=1.5050 If you click buy. You buy 1usd for 1.5050eur, but you can't buy only one unit of USD. You buy either 1000 units of usd, 1000units is that called lot. Am I right boss??
 

Kwa msaada wa mtandao ni hivi;

The difference between ASK and BID is called spread. It represents brokerage service costs and replaces transactions fees. Spread is traditionally denoted in pips – a percentage in point, meaning fourth decimal place in currency quotation.

Following types of spreads are used in Forex Trading

Fixed spread – difference between ASK and BID is kept constant and do not depend on market conditions. Fixed spreads are set by dealing companies for automatically traded accounts.

Fixed spread with an extension – certain part of a spread is predetermined and another part may be adjusted by a dealer according to market.

Variable spread – fluctuates in correlation with market conditions. Generally variable spread is low during times of market inactivity (approximately 1-2 pips), but during volatile market can actually widen to as much as 40-50 pips. This type of spread is closer to real market but brings higher uncertainty to trade and makes creation of effective strategy more difficult.

Example 2: Consider a retail forex trader who buys EUR 100,000 on margin. The current quote in the market is EUR 1 = USD 1.3300 / 1.3302. The bid-ask spread in this case is 2 pips. The spread as a percentage is 0.015% (i.e. 0.0002 / 1.3302) of the traded amount of EUR 100,000.
 
What is the difference between Wammies and Moolahs?

What is Last Kiss? How is it different from Big Shadows?
mkuu wacha niendelee na somo..nkishapita hapo na kufahamu nitajibu kwa uelewa wangu mwenyewe..but for now naomba nifafanulie hilo swali
 
cc: Bavaria
 
Nikupe siri 1, this comes me. Forex hupaswi kusoma vitabu vyote uvionavyo, forex si lazima ujue kila kitu, forex si kitu ambacho unabidi ukiogope, forex is a mind game, forex ili ufanikiwe huitaji kuwa genius, ukiweza kucontrol emotions zako you are almost half way. Unaweza ukasoma vitabu viwili ukawa cream kuliko mtu aliyesoma vitabu 50. Forex is a game, you only need a working strategy. Kuna vitabu zaidi ya 500, wewe focus on what works best for you... fahamu the basics, then ukipata mentor mzr anakuguide kufikia kwenye strategy ambayo kwake inawork. Hilo swali km haujagoogle basi umeelewa vzr sn.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…