Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
mkuu mimi mwenyewe nimesumbuliwa sana ila nime waweza kwa kitu kidogo sana tafuta ya umeme na id kishwa maana mi nilikua watanizungusha ila fasta tu
 
Kama ndivyo hivi hii kitu itaniua kwa presha imeshaunguza acc zangu mbili wiki hii moja ipo inapumulia mashine daaah!!! Forex si mchezo
Next time, kukiwa kuna any major news ambazo zinaigusa currency flani kwa hyo wiki stay away from that currency pairs and this is a lesson, market wl move in a crazy kinda manner(in Rea's voice) last week theresa May alikua anapokea ile draft kuhusu Brexit kutoka EU, kama ulifanya Weekly technical analysis tu jumapili ilopita itakua ilikula kwako, lakini kama una fanyaga both yaani technical anlysis na Fundamental analysis you should have known that GBP currency pairs na EUR currency pairs zilikua sio za kuzigusa kabisa, mambo ni motooo.
Yaani stay out, price action wl not b respected, sio western wala eastern techniques wl b respected, kwahyo stay out.
Or njia nyingine if you have the iron balls u can trade online wth those news, kwa case ya last week Yule Mwanamama Theresa may alireject ile draft!!!! What do you expect?! GBP italoose cofidence ita creep down, kwahyo any GBP currency pair means GBP Italoose value the other currency ita appreciate.
Na kwa upande mwengine EUR itaappreciate kwahyo any currency pair ya EUR means EUR ita aprreciate the other currency ina depreciate.
Lakin njia rahisi ya kupiga pesa ilikua ni kwenda kwenye EUR/GBP currency pair na kuBUY, why?!! Because both coins zulikua ziko affected you could have get many pips there.
kwakukusaidia tu, Ukiwa unafanya weekely analysis jumapili kwa upande wa fundamental tumia
investing.com, forexfactory.com na bloomberg.com.
Niko kwenye moja ya Group la yule mentor, yeye aliwaambia watu wa Buy GBP halafu bila hata stop loss!! akiamungu ile call niliona kabisa ilikua wrong, natamani nitoe opinion lakin naogopa nitaonekana kimbelembele watu wata anza kunishambulia...akili ikaniambia chill out bro, uone watu wanavyo choma account.
Hahahahaha baada ya masaaa kadhaa there was a moment of silence halafu vilio vikafuata.
You need to learn to do your own analysis hata kama unapewa calls, kuna watu wanakaa kusubiria calls za mentor kule mi nawaambia mtalia sana na mtakuja kukumbuka maneno yangu na wengi wao ndo wale wakishachoma account wanakuja huku JF kulialia na kuichafua kampuni ya watu TMT.
Yaani ww unaegesha pumbu tu unasubiria mtu atoe call ww ubonyeze tu SELL or BUY..hahahahaha Maisha sio marahisi hvyo mzee.
Mm kwaupande wangu nadhani forex inahtaji dedication, inahtaji kusoma vitabu na sio tu vitabu bali vitabu sahihi, na sio tu kusoma bali kusoma na kuelewa unacho kisoma kinamaanisha nn.
Kunavitabu vngi sana vya forex, sio kila kitabu ni cha kusoma vingine vinakubomoa badala ya kukujenga.vingi ni upupu.
Kwa bahati mbaya wabongo wengi hatuna desturi ya kusoma vitabu hapa ndo utawakuta watu wanakaa kusubir calls za mentor.
No No No No, soma ujue kufanya analysis mwenyewe hata hyo call ya mentor pia umaifanyia analysis pia kabla hujaitrade coz at the end its your money that is invested.
Ukiloose money kwa kuplace trade ambayo imefanywa na analysis yako mwenyewe, that pain wl motivate you,trust me coz theres no one to blame but you.ukiloose kwa analysis ambayo imefanywa na mtu mwengine utaishia kumblame huyo mtu.
Samahani kwa maelezo marefu.
 
hell nah,,,, go and google forex is not networking marketing
i know its not network marketing but my point umeipata. its another kind of a ponzi scheme. people at the top of the ladder benefit from the ones beneath na ndio maana kila siku mko hapa kunadi makampuni and all that bullshit.
only few people are directly involvef wengine huku nyuma mmafanyiwa na wao in one way or the other.
ka.a ni utajiri mbona nyie sio matajiri? in the likes of the so called WAMEFANIKIWA ?
wote mko hapa eti mtu afanye trading on behalf with usd 100 upaye usd 2000 then ww unachukua usd800.
kwann hiyi 100 usitoe mwenyewe ufanye mwenyew hiyo biashara na faida uoate mwenyewe? bila kugawana na mtu
 
Ficha UPUMBAVU wako - Invisible
siku zote mtasema mnayosema but still. sio utajiri wenu.mnaounadi.
biashara yenye faida siku zote mtu hapendi kushea unless sharing is the core of the business profit
 
my point is pamoja na kusoma kote huji na kubobea mbona bado hujatajirika hadi leo? tukusikie na ww ktk orodha ya matajiri TZ?
 
Daah mkuu umeongea vitu vya maana sana salute kwako
 
Nakubaliana na wewe kwa kila kitu. Kasoro hapo pa ponzi scheme.

Ngoja nikwambie, wewe unafuga samaki, na umeona unapata kipato kikubwa tu, na unaona vijana wanahangaika sana mtaani, hutowasaidia?

Yes, unaweza usiwasaidie sbb wakianza kufuga watapunguza soko lako, na kupunguza kipato chako.

Lakini forex ni tofauti na ufugaji wa samaki, ni tofauti na Forever Living na GNLD au QNET... Huko pesa inaongezeka kadri unavyosaka watu. Huku hapana. Niko chumbani, natrade, napga hela, hata mpangaji mwenzangu hajui kuwa natrade! Haniongezei wala kunipunguzia kitu.

Hapa wewe ukiamua kutrade utatrade WEWE KAMA WEWE, usipotrade hupati faida, ukitrade unaweza piga au kupigwa, lakini hyo haimpi faida au hasara mwingine.

Ukisema watu wanajifaidisha kwa kuuza strategy ni kama kusema VETA ni ponzi scheme kwa sbb wanatangaza redioni watu wakasomee kuchomelea vyuma![emoji3] [emoji3] [emoji3] mana strategy ni one time price and unajifungia chumbani kwako unatrade na kupga pesa utakavyo.... Na isitoshe, hakuna mtu anayemlazimisha mtu kununua strategy yake....

Pia umeongelea ishu ambayo NADHANI ni Account Management, hiyo mkuu sio huduma ambayo lazima uitumie, ila kama unaweza kumpa mtu $200 kwa mfano, akatrade na akipata faida akupe $600 baada ya miezi miwili (kwa mfano), regardless ya faida amepata, tabu iko wapi? Isitoshe, ni makubaliano yao, kama mtu kaamua kumpa mtu atrade pesa yake, na wakakubaliana terms tatizo lako liko wapi? Wewe huwekagi hela bank? Umewahi fikiria bank huwa wanaifanyaje pesa yako? Je, bank ni ponzi scheme? Mana nao unaweka laki mpaka mwaka uishe unakuta una kama sio laki na 5000 basi elfu 80, mana pamoja na kwamb pesa ni yako, bado unakatwa kila mwezi! Sasa huyu ambaye unampa $200 anatengeneza $2000 na anakupa $1200 huoni ni zaidi ya bank? Au labda mimi nina mawazo mafupi sana...

Mi nafikiri wale ambao wapo tayari kutumia huduma hyo waachwe tu waitumie. Na sio siri, mimi pia kuna mtu nimempa pesa yangu aitrade... Mana ratiba zangu haziniruhusu kutrade muda wote, na nkiweka pesa bank hakuna la maana napata.

Kama uko vizuri, naweza pia kukupa pesa unitradie. [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Mkuu uko vizuri
 
Asante sana Boss nimekupata ni kweli Fundamental analysis tuliiignore wiki iliyopita hata nilivyoona call ya Mentor mi sikuingia ila nilisubili sana iliposhuka sana ndo nikaingia kumbe ilikuwa bado ina safari ya kwenda chini........anyway nimejifunza mengi sana juu ya hii kitu
 
Mkuu mbona sijawahi kuona mnatoa maelezo kuhusu workability ya visa na MasterCard kwa trmplerfx?

Inachukua muda gani kuwithdraw na kudepost ?????
 
Mkuu mbona sijawahi kuona mnatoa maelezo kuhusu workability ya visa na MasterCard kwa trmplerfx?

Inachukua muda gani kuwithdraw na kudepost ?????
Unaweza tumia skrill au master card lakini itahitaji further verifications. Ikiwemo kuverify card ya bank na address.
 
Nimeisoma news yooote, kama kuna video YouTube nielekeze, also naona mtaji ni mkubwa kwa mie DIT student ,labda nambie minimum capital,au kama its possible include me in free membership please!

Sandile namsomaaaa! The muffins producer in SA
rimras444@gmail.com
 
siku zote mtasema mnayosema but still. sio utajiri wenu.mnaounadi.
biashara yenye faida siku zote mtu hapendi kushea unless sharing is the core of the business profit
Sio watu wote wanaroho mbaya na ubinafsi mkuu, wewe kama hupend kushare vitu vyenye faida kwa ndugu, jamaa na marafik n. K basi tambua kua Kuna watu wao wanapenda kusambaza upendo kwa share vitu (biashara) vyenye kuleta faida & kwa kifupi FOREX ni biashara halali kabisa Tena inayolipa kuliko biashara zote unazozifaham ww, Lakin pia ina risk kubwa kulinganisha na biashara nyingine (kama huna knowledge yakutosha)
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…