Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
ACHA KUDANGANYA WATU KAKA NA PICHA ZA KUOKOTA. share hiyo account yako tuone ni real na umepata hiyo profit ulosema. Unatuletea picha za 2013 hahhaaha pole sana.
hujaelewa kijana wangu ni hivi hiyo tool ina kupa faida ya pip za kama unavyo ona kwenye screen shot ila mimi demo yangu iko hivi ya week nzima na nusu na hizo loss unazoziona nilijitakia tu kwa tamaa
 
Ukirudi kwenye uhalisia, hakuna trader wa bongo anatumia lot 4...
mkuu ni hivi labda hujaelewa kama nikiwa nimechukua levarage ndogo kama 1:50 naweza weka hata lot size ya 100 inategeme na kiwango changu cha levarage na account type so usi krem
 
Ukirudi kwenye uhalisia, hakuna trader wa bongo anatumia lot 4...
na kumbuka hakuna trade wa bongo maana wote tuna weka dollar na wote tuko sawa alioko marekani alieko urussi wote sawa so jua hamnaga cha bongo mkuu.
 
kweli kwahiyo kama ni utapeli unawashauri nini watengenza hizo tool za kusaidia ku trade
Hakuna tool yeyote ile ya kutrade zaid ya mtu binafsi na anchojua, hakuna tool na haipo na wala haijawah kuwepo

Kapambane kwenye soko huko acha kuvizia visenti vya watu
 
na kumbuka hakuna trade wa bongo maana wote tuna weka dollar na wote tuko sawa alioko marekani alieko urussi wote sawa so jua hamnaga cha bongo mkuu.
Yep... Lakini capital tunatofautiana... And, ukiwa na leverage ndogo, manake huwez kutumia lot kubwa...
 
ngoja ni ipige tena nikutumie mkuu mi sio muongo
Sina shida nayo, kuna zaid ya trillion 6 kwenye market, kapambane uvune uwezavyo, kuna pesa za kutosha sana mule, ingia sasa hv angalia pair za EUR, zinatema vibaya mno, acha kuvizia pesa za watu, Hv kuna mtu ambae ana system ambayo anampa dollar 1000++ aje alete kalio hapa aanze tafuta wateja???? real??? Yaan unakuja kivizia vi lak vya watu??? tumbafu sana
 
usi panic lilux nani kaja kutafuta watu wakati mimi na share kilee nilicho nacho. tafuta kama nimeomba chochote au kumshauri mtu. mi nime share tu vitu best vya forex
 
Wakati unaposhindwa kujitetea kwa facts na kuanza kejeli kwa wanaokuchalenge, ni dalili kuwa hautaki kuulizwa, na kupewa changamoto... Na nidalili pia, hauamini katika kile unakifanya... Kama ungekuwa unakaribia kupata followers, manake tayari unawapa mashaka kuhusu kila kitu ulichokionyesha...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…