Danpol
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 5,727
- 8,918
Nyie ndio mnafanya hii biashara inaonekana utapeliSIMPLE NA PIP 345+ SO SIMPLE inbox me
View attachment 721442
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie ndio mnafanya hii biashara inaonekana utapeliSIMPLE NA PIP 345+ SO SIMPLE inbox me
View attachment 721442
hujaelewa kijana wangu ni hivi hiyo tool ina kupa faida ya pip za kama unavyo ona kwenye screen shot ila mimi demo yangu iko hivi ya week nzima na nusu na hizo loss unazoziona nilijitakia tu kwa tamaaACHA KUDANGANYA WATU KAKA NA PICHA ZA KUOKOTA. share hiyo account yako tuone ni real na umepata hiyo profit ulosema. Unatuletea picha za 2013 hahhaaha pole sana.
kweli kwahiyo kama ni utapeli unawashauri nini watengenza hizo tool za kusaidia ku tradeNyie ndio mnafanya hii biashara inaonekana utapeli
Ukirudi kwenye uhalisia, hakuna trader wa bongo anatumia lot 4...hujaelewa kijana wangu ni hivi hiyo tool ina kupa faida ya pip za kama unavyo ona kwenye screen shot ila mimi demo yangu iko hivi ya week nzima na nusu na hizo loss unazoziona nilijitakia tu kwa tamaa
View attachment 721948
mkuu ni hivi labda hujaelewa kama nikiwa nimechukua levarage ndogo kama 1:50 naweza weka hata lot size ya 100 inategeme na kiwango changu cha levarage na account type so usi kremUkirudi kwenye uhalisia, hakuna trader wa bongo anatumia lot 4...
na kumbuka hakuna trade wa bongo maana wote tuna weka dollar na wote tuko sawa alioko marekani alieko urussi wote sawa so jua hamnaga cha bongo mkuu.Ukirudi kwenye uhalisia, hakuna trader wa bongo anatumia lot 4...
Hakuna tool yeyote ile ya kutrade zaid ya mtu binafsi na anchojua, hakuna tool na haipo na wala haijawah kuwepokweli kwahiyo kama ni utapeli unawashauri nini watengenza hizo tool za kusaidia ku trade
Sio hvyo tu, hii picha ilishawah tumwa humu humu na mtu mwingne kipindi cha nyumaUkirudi kwenye uhalisia, hakuna trader wa bongo anatumia lot 4...
ngoja ni ipige tena nikutumie mkuu mi sio muongoSio hvyo tu, hii picha ilishawah tumwa humu humu na mtu mwingne kipindi cha nyuma
Yep... Lakini capital tunatofautiana... And, ukiwa na leverage ndogo, manake huwez kutumia lot kubwa...na kumbuka hakuna trade wa bongo maana wote tuna weka dollar na wote tuko sawa alioko marekani alieko urussi wote sawa so jua hamnaga cha bongo mkuu.
Sina shida nayo, kuna zaid ya trillion 6 kwenye market, kapambane uvune uwezavyo, kuna pesa za kutosha sana mule, ingia sasa hv angalia pair za EUR, zinatema vibaya mno, acha kuvizia pesa za watu, Hv kuna mtu ambae ana system ambayo anampa dollar 1000++ aje alete kalio hapa aanze tafuta wateja???? real??? Yaan unakuja kivizia vi lak vya watu??? tumbafu sanangoja ni ipige tena nikutumie mkuu mi sio muongo
Unapaswa kusoma vitabu ambavyo vitakupa mwanga kuhusu analysis. Vitabu vinapatikana hapa: FX Trading Booksbado nashida kwenye ishu kujua muda wa kubuy na kusell naombeni kueleweshwa kwenye hilo
Sio hvyo tu, hii picha ilishawah tumwa humu humu na mtu mwingne kipindi cha nyuma
Sina cha kujadili na wewe boss. Boss wa demohujaelewa kijana wangu ni hivi hiyo tool ina kupa faida ya pip za kama unavyo ona kwenye screen shot ila mimi demo yangu iko hivi ya week nzima na nusu na hizo loss unazoziona nilijitakia tu kwa tamaa
View attachment 721948
vitabu nasoma lakn nahitaj coach wa kunielewesha zaid hata kwa summary fupi tu kuwa ukiona hv buy ukiona hv sellUnapaswa kusoma vitabu ambavyo vitakupa mwanga kuhusu analysis. Vitabu vinapatikana hapa: FX Trading Books
Wewe huwa unabuy wakat gan na unasell wakati gan?vitabu nasoma lakn nahitaj coach wa kunielewesha zaid hata kwa summary fupi tu kuwa ukiona hv buy ukiona hv sell
usi panic lilux nani kaja kutafuta watu wakati mimi na share kilee nilicho nacho. tafuta kama nimeomba chochote au kumshauri mtu. mi nime share tu vitu best vya forexSina shida nayo, kuna zaid ya trillion 6 kwenye market, kapambane uvune uwezavyo, kuna pesa za kutosha sana mule, ingia sasa hv angalia pair za EUR, zinatema vibaya mno, acha kuvizia pesa za watu, Hv kuna mtu ambae ana system ambayo anampa dollar 1000++ aje alete kalio hapa aanze tafuta wateja???? real??? Yaan unakuja kivizia vi lak vya watu??? tumbafu sana
Wakati unaposhindwa kujitetea kwa facts na kuanza kejeli kwa wanaokuchalenge, ni dalili kuwa hautaki kuulizwa, na kupewa changamoto... Na nidalili pia, hauamini katika kile unakifanya... Kama ungekuwa unakaribia kupata followers, manake tayari unawapa mashaka kuhusu kila kitu ulichokionyesha...
bado beginner mkuu kuna mtu alinielekeza tu ikiwa inapanda buy ikiwa inashuka sell mwingine kasema vice versaWewe huwa unabuy wakat gan na unasell wakati gan?