Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Nauza kiberiti cha gas kwa ajili ya akaunt yako ya kwanza maana lazima ubatizwe kwa moto ndo akili inakaa sawa yote kwa yote karibu katika ranging pendwa ya bluu anza kuipenda kwanza
Haha, umenichekesha sana boss. Watu wachache watakuelewa, some will percieve it as a threat, but surely it ain't.
 
Nicheck inbox mkuu, najaribu kukupm nashindwa
 
Leo currencies nyingi zimeform reversal signals especially kwenye 4hr time frame, so swing traders you can have a look and make decisions to enter trades or not! Nawatakia nice pips download!
 

It is a demo account but see how the pairs are working. Hopefully zitaenda at least two days before reversal!
 
View attachment 726827
It is a demo account but see how the pairs are working. Hopefully zitaenda at least two days before reversal!
Templer not a broker even by features spread is big, late execution, pop up window when you want to close trades faster (on pc mt4) not regulated and registered broker, they doesnt place your trades into banks their server and pcs is just an end.
If it happens i lose money in trading its better being taken by others from the market rather than made one person pockets(templer) with hard earned money
 
Niliwahi kuuliza why huyu broker hafanyi kazi usa,Israel nk?? Na mbona sijaona yuko regulated??. SIKUPEWA MAJIBU YA MAANA...



Naomba utushauri mkuu mimi huyu templer simuamini kabisa..
 
Mbona mimi na trade na templer pia na withdrawal kama kawaida nilisha withdrawal nyingi tu via Mpesa
 
Mbona mimi na trade na templer pia na withdrawal kama kawaida nilisha withdrawal nyingi tu via Mpesa
Kiasi kikubwa wewe kutoa ilikuwa how much ????


Halafu suala sio kutoa au kuweka hela issue hapa ni kuwa huyu broker hayupo regulated
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…