MR LINKO
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,034
- 3,526
asanteI c
I can see the power of pin bar!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asanteI c
I can see the power of pin bar!
Vitabu vingi vinapatikana hapa FX Trading BooksHabari zenu wakuu...
Msaada Kama kuna kitabu kingine kwa ajili ya naked traders ukiachana na naked forex.....
Natanguliza shukran
Uko mji gani? Karibu katika group la telegram la traders. Nina uhakika utapata mtu aliyekaribu yako, atakayeweza kukusaidia. (kwa makubaliano yenu)Mwenye uwelewa na hii biashara Forex anieleweshe tafadhali
Nauza kiberiti cha gas kwa ajili ya akaunt yako ya kwanza maana lazima ubatizwe kwa moto ndo akili inakaa sawa yote kwa yote karibu katika ranging pendwa ya bluu anza kuipenda kwanzaMwenye uwelewa na hii biashara Forex anieleweshe tafadhali
Haha, umenichekesha sana boss. Watu wachache watakuelewa, some will percieve it as a threat, but surely it ain't.Nauza kiberiti cha gas kwa ajili ya akaunt yako ya kwanza maana lazima ubatizwe kwa moto ndo akili inakaa sawa yote kwa yote karibu katika ranging pendwa ya bluu anza kuipenda kwanza
Nicheck inbox mkuu, najaribu kukupm nashindwaShortcuts: Books, Signals, Class and Brokers.
FREE TRADING BOOKS
FX Trading Books
+255MillionairesFX
+255MillionairesFX
FreeForexSignals
FreeForexSignals
SIMPLE FOREX STRATEGY CHANNEL
(Free Forex Classes)
SIMPLE FOREX STRATEGY GROUP
SIMPLE FOREX
STRATEGY GROUP
(Discussion Group)
FA$T FOREX TRADING
HOW TO USE DUSUPAY
TemplerFX
Templer FX Trader
TICKMILL
http://bit.ly/tickmill_seychelles
Pepperstone
Forex Trading with Pepperstone - Australia's Fastest Growing Forex Broker
Live Pepperstone Spreads
Forex Trading with Pepperstone - Australia's Fastest Growing Forex Broker
Usalama haupo kwa kweli. Na ucpokuja ntakusaka mpaka nikupate. Mana ulipo ndipo nlipo![emoji3]Nakuja ila nihakikishie usalama[emoji3]
Kweli kabisa! Wanaomponda Ontario huwa siwaelewi kabisa! Anyway huwezi kukubalika kwa watu wote hata kama utafufua wafu live!namshukuru sana Ontario kwa haya maarifa.,though nilishablow account mara kibao ila nilichovuna si haba..,lets keep downloading money
Templer not a broker even by features spread is big, late execution, pop up window when you want to close trades faster (on pc mt4) not regulated and registered broker, they doesnt place your trades into banks their server and pcs is just an end.View attachment 726827
It is a demo account but see how the pairs are working. Hopefully zitaenda at least two days before reversal!
Niliwahi kuuliza why huyu broker hafanyi kazi usa,Israel nk?? Na mbona sijaona yuko regulated??. SIKUPEWA MAJIBU YA MAANA...Templer not a broker even by features spread is big, late execution, pop up window when you want to close trades faster (on pc mt4) not regulated and registered broker, they doesnt place your trades into banks their server and pcs is just an end.
If it happens i lose money in trading its better being taken by others from the market rather than made one person pockets(templer) with hard earned money
Kiasi kikubwa wewe kutoa ilikuwa how much ????Mbona mimi na trade na templer pia na withdrawal kama kawaida nilisha withdrawal nyingi tu via Mpesa