Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
NO MENTOR
no stress wewe kaa na u trade kwa amani kabisa kwa indicator safi ya 100%, kama i time ya sell it will show kama ni time ya ku buy it will show. KUMBUKA HAUITAJI MENTOR YOYOTE BALI ITAKUONGOZA KUANZIA A-Z . waweza iangalia hapo chini.

 
Parabolic SAR [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
so far so good zero pip, zero pipette spread how about your broker??
 
Awapi swez kuwa kilaza wako nitoe buku tano tano
mimi hutoi buku tano unatoa pesa nzuri nakupa indicator ya 100% kisha nakufundisha mpaka una ielewa baada ya hapo una trade week ukipata hasara nakurudishia mtaji. kama bure tu kuliko mtu kwenda kwa ontario unatoa zaidi ya laki mbili na ushe na unarudi mbulula mashariti kibao wakati vitu viko ni kukaa chini tu
 
Punguza njaa wewe
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…