MBAPPE
JF-Expert Member
- Mar 7, 2018
- 303
- 344
Unaomba msamaha wa nini acha kulialia Fanya practice za kutosha kila siku utakuA poa tuMku mbona unajibu kama nimekukwaza , samahani sana boss
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaomba msamaha wa nini acha kulialia Fanya practice za kutosha kila siku utakuA poa tuMku mbona unajibu kama nimekukwaza , samahani sana boss
Fanya we Fanya practice mpaka ukomaeMku mbona unajibu kama nimekukwaza , samahani sana boss
Nauza kiberiti cha gas kwa ajili ya akaunt yako ya kwanza maana lazima ubatizwe kwa moto ndo akili inakaa sawa yote kwa yote karibu katika ranging pendwa ya bluu anza kuipenda kwanza
Mkuu acha wiziNO MENTOR
no stress wewe kaa na u trade kwa amani kabisa kwa indicator safi ya 100%, kama i time ya sell it will show kama ni time ya ku buy it will show. KUMBUKA HAUITAJI MENTOR YOYOTE BALI ITAKUONGOZA KUANZIA A-Z . waweza iangalia hapo chini.
View attachment 727717
sawa. nimeacha zamani sana ila saizi ni matundaMkuu acha wizi
sawa sawa wewe umetengeneza shilingi ngapi mpaka sasamtatunda ya kuuzia indicator vilaza wako
Bado nasomasawa sawa wewe umetengeneza shilingi ngapi mpaka sasa
Parabolic SAR [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]NO MENTOR
no stress wewe kaa na u trade kwa amani kabisa kwa indicator safi ya 100%, kama i time ya sell it will show kama ni time ya ku buy it will show. KUMBUKA HAUITAJI MENTOR YOYOTE BALI ITAKUONGOZA KUANZIA A-Z . waweza iangalia hapo chini.
View attachment 727717
soma sana ukiona una pata hasara sana njo maana utakuwa kilaza wangu na lazima ujishusheBado nasoma
hongera mkuu mimi wangu kaweka pip zile zile hana hurumaso far so good zero pip, zero pipette spread how about your broker??
View attachment 727839
Awapi swez kuwa kilaza wako nitoe buku tano tanosoma sana ukiona una pata hasara sana njo maana utakuwa kilaza wangu na lazima ujishushe
mimi hutoi buku tano unatoa pesa nzuri nakupa indicator ya 100% kisha nakufundisha mpaka una ielewa baada ya hapo una trade week ukipata hasara nakurudishia mtaji. kama bure tu kuliko mtu kwenda kwa ontario unatoa zaidi ya laki mbili na ushe na unarudi mbulula mashariti kibao wakati vitu viko ni kukaa chini tuAwapi swez kuwa kilaza wako nitoe buku tano tano
Punguza njaa wewemimi hutoi buku tano unatoa pesa nzuri nakupa indicator ya 100% kisha nakufundisha mpaka una ielewa baada ya hapo una trade week ukipata hasara nakurudishia mtaji. kama bure tu kuliko mtu kwenda kwa ontario unatoa zaidi ya laki mbili na ushe na unarudi mbulula mashariti kibao wakati vitu viko ni kukaa chini tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Punguza njaa wewe
na ww uache kulia kulia kuomba msamahaPunguza njaa wewe