Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Mi najua stop loss inawekwa katika previous swing low au swing high, so kama ni stop loss ni nzuri ikiwa flexible mana hzo swing high na low, zinaweza zisiwe 20pips from entry
 
Tickmill wa wapi? Na anaregulatory mbili tofauti... Ya UK, na ya Seychelles... Na TZ inapatikana TU kwa regulatory ya Seychelles... Umewahi jiuliza kwanini? Au na Tickmill ya Seychelles utasema co Tickmill original ni Copy?View attachment 728914
Mkuu hujajibu swali langu tickmill naifahamu ndo maana.sijauliza kuhusu tickmill
 
Nina roho ngumu kivipi mkuu?
Unazungumzia vitu ambavyo theoretically ni possible wakati practically ni impossible...FOREX sio kama unavyoichukulia...
Nakushauri ufanye ishu nyingine ili ikusaidie kupata mtaji wa kutosha ili uweze kuingia kwenye FOREX....
Hata $200 sikushauri pia....Weka $500 kwa ajili ya practise
 
Ndugu katika forex what matters first ni skills zako za kutrade + money management + trading psychology. Capital siyo determinant ya mafanikio katika forex. Na kama ingekuwa capita ndio number one determinant ya mafanikio katika forex trading tusingekuwa tunaunguza hizo a/c zenye USD 200, 500 au hata zaidi ya hizo. Naamini naweza kuanza na hata 3 USD ndani ya siku mbili au tatu kama trade itakwenda vizuri nikafikisha hata dollar 10+. Hivyo kwangu capita ya 10 USD japo kiuhalisia ni ndogo lakini hainizuii kufikisha 1000. Kitakachohitaji ni uvumilivu maana inaweza kunichua muda kidogo kuliko kama ningekuwa na capital KUBWA. That's is the only difference kati ya capital ndogo na capital kubwa kwamba inakuchukua muda mfupi kutegeneza profit kubwa ukiwa na mtaji mkubwa na ukiwa mtaji mdogo itakuchukua muda mrefu.

Hivyo kuliko kukaa tu na kuisubiria hiyo USD 100, 200, 500 au zaidi ambayo sijui nitaipata lini ndio nianze kutrade ni kupoteza muda tu. Nakuwa kama mangi naanza na kigenge baada ya mwaka nakuwa na duka kubwa. INAWEZEKANA KABISA UKIWA UNAJUA UNACHOKIFANYA!
 
Mi najua stop loss inawekwa katika previous swing low au swing high, so kama ni stop loss ni nzuri ikiwa flexible mana hzo swing high na low, zinaweza zisiwe 20pips from entry
Inawezekana unachokisema ni kweli kabisa. Lakini suala la kuweka stop loss pia linategemea na strategy unayoitumia kutrade na wakati mwingine ni preference ya trader mwenyewe!
 
Mkuu namna ya ku pakua Hii Forex simulator-installation ..apo ni kama wametoa maellzo namna ya kuinstall
 

Just because you can do something doesn’t always mean you should.
So if a Forex broker offers a way to start for $100, should you take it?

That depends on several factors, but if it were up to most of the people who are seriously want to do FOREX the answer would always be NO.
 
Kumbe majibu yako ni kucopy na kupaste,
 
Mkuu, jamaa pale juu kaeleza vizuri sana, ukishajipika ukaiva, dola 3,4,5 sijui ngan zinatosha , haufanikiwi kwasababu umeanza na mtaji mkubwa au mdogo, jipike, iva... kias chochote cha mtaji unatembea
 
Mkuu, jamaa pale juu kaeleza vizuri sana, ukishajipika ukaiva, dola 3,4,5 sijui ngan zinatosha , haufanikiwi kwasababu umeanza na mtaji mkubwa au mdogo, jipike, iva... kias chochote cha mtaji unatembea
Mkuu mimi wala sikatai kwenye swala hilo...Point ni kwamba unafanya FOREX kwa sababu zipi???
 
Kakojoe ukalale huko, hafu huu Uzi tuachie traders Wa forex , nyie endeleeni kufungua nyuz za kulima matikitimaji, na kilimo cha mboga mboga.
hahaha hahaha dah! Jibu murua ..kila binadamu na afanye anachokipenda.
 
Blazaa kwa hatua ulofikia bado unaitaji mentor tena hahaha (joke) ila Fanya namna mkuu utu coach sisi banaa ..bado tuna safari ndefu kinomaa
 
So kwa kuionyesha MCV, ambayo ni strategy yako, nakulipa wewe?
Mkuu ningeomba uniweke wazi kuhusu strategy ..maana bado nachangaya.. kama vip ungenisaidia na ambazo unazijua wewe ..mf ukisema kangaroo tail, big shadow.. Nazo Ni strategy? pia umeongelea MCV nin kirefu chakechake?/maana yake?

Shukrani mkuu
 
Amlight,kumbe Nlishapitwa,huu Uzi Mrefu Sana Sitoumaliza Kuupitia,kama Utanipa Summary,na Je Otario Kafanikiwa Kufungua Ofisi?He He Nimentor Basi,bado Nanyonyesha
 
Nimemaliza Kusoma,ntasoma Tena Na Vitabu,dummies Nshadownload,nimesoma Finance Na Bado Npo Kwenye Process Ya Kusoma Finance Zaidi,ila Kabla Sijasoma Zaidi Forex Ntakuwa Nshaingia,itachukua Mda Ila Ntakuwa Fit Kukuzidi Ontario,
Ahsante Ontario
 
Mkuu hujajibu swali langu tickmill naifahamu ndo maana.sijauliza kuhusu tickmill
Kuongelea tickmill manake ujaze kwenye blanks, kwa mfanano huo co jambo la ajabu kwamba templer hawapo US, kwa sbb hata Tickmill hawana regulation ya US, huenda nao hawafanyi huko...
 
Kuongelea tickmill manake ujaze kwenye blanks, kwa mfanano huo co jambo la ajabu kwamba templer hawapo US, kwa sbb hata Tickmill hawana regulation ya US, huenda nao hawafanyi huko...
unataka nieleze historia ya tickmill mpaka kuwa na regulatory nchi mbili tofauti? huo sio msingi wa swali langu na bado sijauliza kuhusu kufanya kazi US au nchi nyingine yoyote sababu najua kwa nn brokers wengi hawafanyi kazi US sio templer tu,. Ninachotaka kujua kwa nini regulator asiwe FCA(FSA UK) mpaka iwe nchi nyingine tofauti na makao makuu ya broker ikizingatiwa FCA ni body ya nchi ya uingereza ambapo broker anatokea?
 
Sorry, ntakuwa nimechanganya, nlikuwa namjibu mtu aliuliza kwanini Templer haifanyi kazi US na Israel... Na hvyo akawa anadhani ni Scam
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…