Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura na namba yako ya simu utakayoitumia kuweka na kutoa pesa.

Usisite kuomba msaada

JISAJILI SASA

TemplerFX | Promo
 
Kwa urahc zaidi na kuhudumiwa kwa haraka, ningekushauri uwapigie... Lakn hyo itakuwa kesho muda wa kazi.

Nicheck inbox kama huna namba zao.
Habari ndugu nimefata hatua zote za maelezo yako na kuja vipengele vyote ila tatizo linakuja nikikusanya taarifa zangu naletewa neno hilo sijui nakosea wapi? tafadhali msaada na kwa yoyote anipe mwanga wa kufungua akaunti ya bonus
 
Kama unataka bonus isiyo na masharti magumu nenda XM ukipata trade unawithdraw bila hata ya kudeposit chochote kama unaona bado hujawa pips hunter mzuri usizikimbilie kwanza cheza na demo au weka hata kuanzia $2 mpaka $10 za kujifunzia hata ukiblow hakuna tatizo ukiiva vizuri nenda XM ukapate mtaji wa bure
 
Asante sana ndugu kwa ushauri wako
 
Huyu XM ni aina gani ya Broker?: Market Maker brokers au ECN brokers.
 
Ni furaha yangu kuwa member wa Jf tangu 2010 japokuwa nimepitia Ids mbalimbali na kuzitelekeza nimejifunza mengi Jf haijawahi kunipoteza nimetanua mawazo yangu, nimejifunza almost kila kitu Jf kila nyanja na hili nimefanikiwa kutokana na uvumilivu.
Hata wanaolia na Ontario walikosa uvumilivu.

Ratiba zinabana ila ila muda wa Jf unakuwepo I do real love the FAM
Appreciate everyone
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…