Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
opened a/c yesterday for a friend of mine after verification he got no deposit bonus of €40.57 then do see how i gave him financial freedom startup and there is GBPUSD running on profit about €73
Forex is real Great thinkers
Dont open account just to get bonus if you are a newbie, test your skills first on demo then make real money at first with your bonus

PS: hii profit inawezekana kuwithdraw bila tatizo lolote

Dogo Mimi ni Guru wa hii kazi.. Nimeijua Forex kipindi hicho wewe huko maskani na masela mnakula widi.

Sijaijua Forex kwa sababu ya Ontario... Nimejifunza hii mambo nikiwa 123 schooner avenue, laser park, gauteng province, Johannesburg.
Mkuu kama uliijua forex kitambo kabla ya Ontario je tmt ulienda kujifunza au ulienda kuchunguza utapeli wao?
 
Mkuu kama uliijua forex kitambo kabla ya Ontario je tmt ulienda kujifunza au ulienda kuchunguza utapeli wao?
Learning is the continuous process from cradle to grave mkuu...

Niliamini nitapa kitu kipya maana nilitrade awali then baadae nikaacha baada ya kutokuwa na enough skills zilizosababisha loss kibao then niliposikia kuna expert toka SA wako bongo nikahisi nitaenda kujifunza kitu kipya the deep way of analysing market but haikua hivyo.

Kingine I was blinded na maneno ya kutia moyo ya jamaa nikaingia mzima nikala za uso. Done.
 
OK nimekuelewa but tuna mengi ya kujifunza toka kwako make nimeona una vingi kuhusu forex,
 
OK nimekuelewa but tuna mengi ya kujifunza toka kwako make nimeona una vingi kuhusu forex,
 
We unaamini ktk swinger ebu nitoe tongotongo kidogo je tofauti na trailing order ni oder gani nyngne unaweza kutumia kuhold position walau wiki 2?
 
OK nimekuelewa but tuna mengi ya kujifunza toka kwako make nimeona una vingi kuhusu forex,
Muhimu ni kuendelea kubadilishana uzoefu tu ili tuwe consistency profitable independent traders ni Bonge la fursa sema linaandamwa sana na wapigaji kutokana na potential yake ya kiuchumi.

Let's empower each other. Each one teach one.
 
Mkuu kulikoni trailing order haipo kwa watumiaji wa simu/Android? Na je ni kweli kwa watumiaji wa pc trailing order ni lazima data iwe on masaa yote?
 
Muhimu ni kuendelea kubadilishana uzoefu tu ili tuwe consistency profitable independent traders ni Bonge la fursa sema linaandamwa sana na wapigaji kutokana na potential yake ya kiuchumi.

Let's empower each other. Each one teach one.
Ktk pending order hata ukizima data response itakuja kulingana na reaction ya market yaani hakuna madhara! Je kuna madhara gani kwa mtumiaji wa PC aliyeplace trailing order endapo atazima data?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…