Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
siyo kwakontu hata kwangu ilikua alhamis ilitokea formatiom ya candle ambayo ckuielewa then leo naangalia ile candle siion..sema bahat nlpiga screenshot nkifanansha con kitu
 
siyo kwakontu hata kwangu ilikua alhamis ilitokea formatiom ya candle ambayo ckuielewa then leo naangalia ile candle siion..sema bahat nlpiga screenshot nkifanansha con kitu
hamna kitu kama hiyo candele zote zina move sawa
 
haya haya... pair za USD zina leta return ya hatari wiki hii....
 
pesa ina mwagika huku... wanao hitaji kukinga huku....
 
ukitaka piga pesa nunua USD/CHF baada ya masaa kadhaa una uhakika wa kupiga pesa... sasa hivi ina soma 0.98721/0.98730
 
dakika mbili zimepita mzigo umesoma... 0.98819/0.98828
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…