Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
mkuu mbona kama ina virus mzee baba vipi
 
ANGALIA NA KWANINI NI .exe baada ya ex4.file
Unapaswa utambue

- BTMM Installer ni .EXE file (executable), nia kama ilivyo software nyingine yeyoteile unayoweka kwenye PC. Huwezi wieka kwenye MT4 kama iilivyo, bali ni kwa kufanya imstallation.

- MT4 inatambua file extension za .EX4

 
Kwa anayehitaji trade signal indicator aje nimpe hakuna haja ya analysis tena. 0738330539
 
Awa templerfx broker minimum deposits yao kwenye universal, Islamic and cent ni sawa ?

Ipi bora kutrade islamic and universal account ?
 
Unwz tumia kwa cmu au PC tu?
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.

Ni broker pekee ambae anayekuwezesha kuweka kiasi kidogo kuanzia dollar ($) 1 kwenye akaunti yako ,pia vilevile ana huduma ya haraka sana wakati wa kutoa pesa yako, dakika 15-30 tiyari pesa inakuwa imeshatumwa kwenye account yako.

BAADA YA KUJISAJILI

Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.

JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.

TemplerFX | Promo
 
Nimejaribu sana kutumia BTMM nimeshindwa kuwaelewa imebidi niachane nao, natumia 15min and am a master
Kwenye kozi nzima uki_sum up utagundua kuwa umejifunza vitu vitatu
1. Market cycle - Daily, Weekly etl
2. Timming - Entry / Exit time, Market sessions na ni muda gani hutakiwi kuingia sokoni.
3. Pattern

Ukimaster hivyo vitatu, ukitazama tu_chart unajua hapa market iko level ipi?, Je uingie sokoni au usiingie sokoni? Na kwa sababu zipi??

Kozi nzima ya BTMM inakufungua mambo mengi ambayo retail traders hawajui.
 
niko vizuri kwenye 15mins chart
15M - ni nzuri for timming entry, Ila wakati mwingine huwa tunashuka hadi kwenye 5min hasa kama una pair zenye Low ADR

Ila best time ni 30M na H1 - Ili kupata clear market direction kwa session husika.
 

Daah, gharama za BTMM ni ghali sana, nikapata material yote uvivu ukanishika,

nilijitrain kutazama chati kwa muda mrefu sana plus kusoma candlestick sana

nikimpata mtu wa kufundisha nitasoma
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…