sky walker
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 1,160
- 831
mkuu mbona kama ina virus mzee baba vipiNi collection ya indicators na templetes zake.
Ili mtu aweze kuzitumia hizi indicator/ templates ni vyema kwanza akaanza na hayo mafunzo (course), azielewe video zote za S.M, ndipo ataweza kufanya Timing ya kuingia sokoni na kutoka na faida.
Nime attach kwa atakaye hitaji.