Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Misukule bado mpooooooo Wahenga wanasema apandae ngazi haraka hakawii kushuka [emoji18]
 
Kaka nipo najaribu DEMO ya MT4 ile original ambayo siyo ya specific broker naona haina current news kama ile MT4 ya Instaforex so how naweza ku trade hii DEMO au nikiwa na real account ndo Brokers ataleta hizo analysis??

Forex Beginner.
Mara nyingi brokers wengi huwa hawatoi news kwa demo accounts kama hujafungua real account na kudeposit money! Ukifungua real account na ukadeposit hela then utapata news! Hata kama real account ikiishiwa hela na ukafungua demo bado utaendelea kupata news kwenye demo!
 
Na hii universal minimum ni ngapi??
 
Msaada wa mwenye akaunt ya skrill ambayo iko full verified nmtumie pesa anitolee atakata ten percent ya hiyo hela maana yangu bado hajaiwa verified vitambulisho vyetu vya kura naona hawavitambui
 
Msaada wa mwenye akaunt ya skrill ambayo iko full verified nmtumie pesa anitolee atakata ten percent ya hiyo hela maana yangu bado hajaiwa verified vitambulisho vyetu vya kura naona hawavitambui
Ukiibiwa utamlaumu nani??
 
nitatrade tena maana nazitoaa hukohuko forex nitapàta zingine experience inaniruhusu kupata tena na tena
Hahah unanikumbusha shuleni June 14 ,2018 tulivyotoka kufanya paper ya account, anyway unatumia strategy gani??
 
Msaada wa mwenye akaunt ya skrill ambayo iko full verified nmtumie pesa anitolee atakata ten percent ya hiyo hela maana yangu bado hajaiwa verified vitambulisho vyetu vya kura naona hawavitambui
Kama bado hujafanikiwa.

Njoo inbox.

Uniambie ni dola ngapi unataka kutoa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…