Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Misukule bado mpooooooo Wahenga wanasema apandae ngazi haraka hakawii kushuka [emoji18]
 
Kaka nipo najaribu DEMO ya MT4 ile original ambayo siyo ya specific broker naona haina current news kama ile MT4 ya Instaforex so how naweza ku trade hii DEMO au nikiwa na real account ndo Brokers ataleta hizo analysis??

Forex Beginner.
Mara nyingi brokers wengi huwa hawatoi news kwa demo accounts kama hujafungua real account na kudeposit money! Ukifungua real account na ukadeposit hela then utapata news! Hata kama real account ikiishiwa hela na ukafungua demo bado utaendelea kupata news kwenye demo!
 
Mkuu ni ushauri tu achana na kutrade demo fungua cent ankaunt kwa huyu broker Templer FX Trader halafu Fanya deposit ya $1 sawa na shillingi 2250, hafu kwenye mt4 itatokea $100 anza kutrade ,, Cent akaunt ni live akaunt ya kujifunzia ambapo kiasi unachodeposit huzidishwa Mara 100 .. Mfano ukaweka $5 , hii itazidishwa Mara 100 kwenye mt4 itatokea $500..

Ukipata faida utaweza kuwithdraw pesa yako kama kawaida ,, katika kuwithdraw ipo hivi kiasi kilichopo kwenye mt4 yako kitagawanywa kwa 100 jibu utakalopata ndo hela utakayopokea mkononi.. Mfano kwenye mt4 inasoma $1000 ukigawa kwa 100 unapata $10 .. So $10 ndo pesa halisi utakayoipokea ...
Uzuri wake process zote za kudeposit na withdraw zinafanywa kwa njia rahisi ya Mpesa.. Sio lazima uingie bank..

Baada ya kuona umeiva utaamia katka akaunti nyingine iitwayo Universal.. Huku ndo utatia mpunga wako Wa maana..

Kujifunzia demo umakin unapungua kwa sababu hupotez wala hupat chochote
Na hii universal minimum ni ngapi??
 
Msaada wa mwenye akaunt ya skrill ambayo iko full verified nmtumie pesa anitolee atakata ten percent ya hiyo hela maana yangu bado hajaiwa verified vitambulisho vyetu vya kura naona hawavitambui
 
Msaada wa mwenye akaunt ya skrill ambayo iko full verified nmtumie pesa anitolee atakata ten percent ya hiyo hela maana yangu bado hajaiwa verified vitambulisho vyetu vya kura naona hawavitambui
Ukiibiwa utamlaumu nani??
 
nitatrade tena maana nazitoaa hukohuko forex nitapàta zingine experience inaniruhusu kupata tena na tena
Hahah unanikumbusha shuleni June 14 ,2018 tulivyotoka kufanya paper ya account, anyway unatumia strategy gani??
 
Msaada wa mwenye akaunt ya skrill ambayo iko full verified nmtumie pesa anitolee atakata ten percent ya hiyo hela maana yangu bado hajaiwa verified vitambulisho vyetu vya kura naona hawavitambui
Kama bado hujafanikiwa.

Njoo inbox.

Uniambie ni dola ngapi unataka kutoa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom